Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Jeshi la Misri halikuwa na shida yoyote wala kuhitaji fursa ya kumng'oa Hosni Mubarak, jeshi lilimpindua baada ya kuona nchi itaingia kwenye machufuko mabaya na hakukuwa na namna yoyote nyingine ya kuwatuliza waandamanaji bila umwagaji damu mkubwa.Pia hili tukio linaonyesha civic maturity kubwa ya warusi kama jamii pia utiifu wa kiraia na approval ya warusi kwa mamlaka ni kubwa.
Jamii asi huwa tayari kukiwasha wanachosubiri tu ni fursa.
Mf Egypt wakani Hosni Mubarak, kulikuwa na watu mf muslim brotherhood na factions za kijeshi nyingi zilizokuwa zinasubiri fursa ijitokeze, wamng'oe HM.
Ni dhahiri jamaa amedhibiti jeshi lake.
Prigozhin wa Wagner ni mwendawazimu kuliko Putin. Raia yeyote anayetaka mabadiliko sahihi Urusi asingeweza kumsapoti mtu kama huyo. Hata huko West wanaamini nuclear za Urusi ziko katika mikono salama zaidi kwa Putin kuliko Prigozhin.