Putin kuifuta Wagner group

Putin kuifuta Wagner group

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger

1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi
2: Kujiunga na jeshi (Russian Army)
3:kwenda Belarus

Makundi haya matatu yameahidiwa kutokuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo watakubali offer hizo

Kuvunjwa vunjwa huku kwa Wagner itawaathili uwepo wapo barani Africa na sehemu zingine(Syria...etc) kwasababu Wagner ambayo inayofanya kazi barani Afrika na kwengine ipo chini ya MOD(Ministry of Defence).

Belarus haina ushawishi barani Afrika, kandarasi za Wagner za kuwa Afrika na Syria zilitolewa na MoD kwa hivyo mkataba utakuwa wa Wagner Russia(Russian Army) sio Belarusi.

Pia katika Hotuba hio yake Putin aliwashukuru Warusi kwa uvumilivu, mshikamano na uzalendo wao wa aina yoyote ya usaliti, majaribio ya kuleta machafuko ya ndani yatashindwa,Uasi wa kutumia silaha ungezuiliwa hata hivyo.

Pia kasema

Maadui wa Urusi walitaka nchi hiyo iingie katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yenye umwagaji damu, imeshindikana

Putin ameahidi kwamba ahadi kwa Wagner itatekelezwa.

Vladimir Putin ameshukuru Lukashenka kwa mchango wake katika kukomesha uasi huo.

Putin anaamini kwamba roho za kizalendo za Warusi, ilichukua nafasi kubwa katika kukomesha uasi hio.
 
Yote hiyo inaonyesha udhaifu wa jeshi la Urusi; halitakiwi kujulikana kama jeshi namba mbili duniani. Special Military operation imewashinda mpaka wakasaidiwa na jeshi la mamluki. Jeshi hilo la mamluki lilipowageuka wakaingia kwenye TV za taifa zinazomilikiwa na serikali ili kupiga filimbi za serikali yao .
 
It's Looks like Putin hit the "unfriend" button on Wagner. Or it maybe a trick Putin hatabiriki Hata kibabu biden anafahamu hilo ,na tukumbuke Askari wanaokwenda Belarus huko kuna vitu vikubwa viwii

1: makombora ya nuclear ya Russia (baadhi) yaliamishiwa huko kwahy labda wapewa kazi ya kwenda kuyalinda.
2:sababu ya pili labda kaamua kuwasogezea kipigo Ukraine maana Belarus to Kiev ni km 100

Kwahiyo tutegemee mawili either ni wagnover( mwisho wa Wagner) au ni big win
 
Yote hiyo inaonyesha udhaifu wa keshi la Urusi; halitakiwi kujulikana kama jeshi namba mbili . Special Military operation imewashinda mpaka wakasaidiwa na jeshi la mamluki. Jeshi hilo la mamluki lilipowageuka wakaingia kwenye TV za zinazomilikiwa na serikali ili kupiga filimbi za yao .
Let me fix, Wagner halijitolea (halitoi msaada) kwa Russia lile ni jeshi la kukodishwa limelipwa hela.

Kilichotokea juzi Putin ameepusha umwagaji damu kwa kutumia kwanza diplomasia na alichokifanya prigozhin hayakuwa mapinduzi Bali yalikuwa ni maandamano ya kumshinikiza Putin kumuondoa waziri wa ulinzi.
Ningekubaliana na wewe kuliita Russian Army ni dhaifu kama Wagner wangefanya msafara wao kutoka nje ya Russia to Moscow .
 
Yote hiyo inaonyesha udhaifu wa keshi la Urusi; halitakiwi kujulikana kama jeshi namba mbili duniani. Special Military operation imewashinda mpaka wakasaidiwa na jeshi la mamluki. Jeshi hilo la mamluki lilipowageuka wakaingia kwenye TV za taifa zinazomilikiwa na serikali ili kupiga filimbi za serikali yao .
Hata wakilivunja hili kundi huyu Prigozhin kama atabakia kuwa na ushawishi alionao kwa hao wapiganaji wake itabakia kuwa tatizo hata huko mbeleni.
 
Wagner haifi leo wala kesho...

Kilichofanyika ni kiini macho tuu, wanataka jamii ya kimataifa isiifuatilie sana Wagner...

Wagner ilishajulikana sana kitendo ambacho kinaathiri utendaji kazi wao kama PMC, hivyo hakukuwa na namna zaidi ya kuidisolve theoritically, but practically bado iko palepale tuu.
 
ProRussia ni vyema mkae pamoja mje na theory moja ya kueleweka kuhusu uasi wa Wagner.

Mpaka sasa hizi ni baadhi ya conspiracies theories
1.Wagner wapate urahisi kupita kwenda Belarus kulinda nuclear na kuishambulia Ukraine kutoka huko.
2.Uasi wa Wagner ulikuwa kutafuta wasaliti waliojificha
3.Ni mchezo wa Wagner na Putin kutapeli billion 6 za US
4.Wanataka jamii ya kimataifa isiwafuatilie
5.Wanawavuta wanajeshi wa Ukraine wasogee wawamalize
 
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger

1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi
2: Kujiunga na jeshi (Russian Army)
3:kwenda Belarus

Makundi haya matatu yameahidiwa kutokuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo watakubali offer hizo

Kuvunjwa vunjwa huku kwa Wagner itawaathili uwepo wapo barani Africa na sehemu zingine(Syria...etc) kwasababu Wagner ambayo inayofanya kazi barani Afrika na kwengine ipo chini ya MOD(Ministry of Defence).

Belarus haina ushawishi barani Afrika, kandarasi za Wagner za kuwa Afrika na Syria zilitolewa na MoD kwa hivyo mkataba utakuwa wa Wagner Russia(Russian Army) sio Belarusi.

Pia katika Hotuba hio yake Putin aliwashukuru Warusi kwa uvumilivu, mshikamano na uzalendo wao wa aina yoyote ya usaliti, majaribio ya kuleta machafuko ya ndani yatashindwa,Uasi wa kutumia silaha ungezuiliwa hata hivyo.

Pia kasema

Maadui wa Urusi walitaka nchi hiyo iingie katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yenye umwagaji damu, imeshindikana

Putin ameahidi kwamba ahadi kwa Wagner itatekelezwa.

Vladimir Putin ameshukuru Lukashenka kwa mchango wake katika kukomesha uasi huo.

Putin anaamini kwamba roho za kizalendo za Warusi, ilichukua nafasi kubwa katika kukomesha uasi hio.
Pia umesahau kuongeza kwamba Putin alikataza wanajeshi wa Russia wasimwage damu na Wargner ndo maana wote hawakurudisha moto
 
ProRussia ni vyema mkae pamoja mje na theory moja ya kueleweka kuhusu uasi wa Wagner.

Mpaka sasa hizi ni baadhi ya conspiracies theories
1.Wagner wapate urahisi kupita kwenda Belarus kulinda nuclear na kuishambulia Ukraine kutoka huko.
2.Uasi wa Wagner ulikuwa kutafuta wasaliti waliojificha
3.Ni mchezo wa Wagner na Putin kutapeli billion 6 za US
4.Wanataka jamii ya kimataifa isiwafuatilie
5.Wanawavuta wanajeshi wa Ukraine wasogee wawamalize

Pro NATO subiri mambo mazuri yatakuja huko kiev
 
Let me fix, Wagner halijitolea (halitoi msaada) kwa Russia lile ni jeshi la kukodishwa limelipwa hela.

Kilichotokea juzi Putin ameepusha umwagaji damu kwa kutumia kwanza diplomasia na alichokifanya prigozhin hayakuwa mapinduzi Bali yalikuwa ni maandamano ya kumshinikiza Putin kumuondoa waziri wa ulinzi.
Ningekubaliana na wewe kuliita Russian Army ni dhaifu kama Wagner wangefanya msafara wao kutoka nje ya Russia to Moscow .
Haya sawa Msigwa wa Urusi
 
Mwisho wa Urais wa Putin haupo mbali sana, unaweza kuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwakani. Warusi hawapendi Rais dhaifu.
Urais wa Putin hautegemei kura za Wananchi wa Urusi, bali unategemea uwepo wa Shirika laUjasusi la Urusi (FSB), zamani iliitwa KGB. Kama unavyoona hapa Bongo kwamba chama tawala kilichopo madarakani kuendelea kubakia Ikulu haitegemei kura za Wananchi wapigakura ktk Uchaguzi Mkuu, ndivyo hivyo hivyo hali ilivyo nchini Urusi. Kumbuka, mfumo wote wa Utawala uliopo hapa nchini kwetu kwa miaka yote tangu Uhuru mwaka 1961 umeigwa kutoka Urusi na China (nchi za Kikomunisti/Ujamaa). Alichofanya Nyerere ni Copy&Paste mfumo wa utawala kutoka Urusi na China, ndio maana unaona kuna "mkwamo mkubwa sana wa mfumo wa utawala" hapa Bongo, tumekwama vibaya sana(mbele hatuendi, na nyuma haturudi) mpaka 'external force' ije itukwamue.
 
It's Looks like Putin hit the "unfriend" button on Wagner. Or it maybe a trick Putin hatabiriki Hata kibabu biden anafahamu hilo ,na tukumbuke Askari wanaokwenda Belarus huko kuna vitu vikubwa viwii

1: makombora ya nuclear ya Russia (baadhi) yaliamishiwa huko kwahy labda wapewa kazi ya kwenda kuyalinda.
2:sababu ya pili labda kaamua kuwasogezea kipigo Ukraine maana Belarus to Kiev ni km 100

Kwahiyo tutegemee mawili either ni wagnover( mwisho wa Wagner) au ni big win

Una uhakika biden hawafahamu? You guys mnajuaaa saaana kuliko intelligence org za mataifa mengine?
 
Kwenye Hotuba ya Jana Putin aliwapa offer tatu Wagner group, kujisalima(Kujiunga) Russian Army ,kurudi nyumbani au kwenda Belarus

Moja ya maagizo hayo yameanza kufanyiwa kazi ambapo Wagner group wameanza kukusanya silaha zao na Kwa ajili ya kukabidhi Kwa wizara ya ulinzi

Back
Top Bottom