Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Na mpaka Sasa kiongozi anayeongoza kulalamika Ni wa Ukraine Sasa sijajua analalamika Nini Kama yupo fresh aendelee kupambana tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupoteza Askari wengi sio issue Sana, kwani Ukraine mpaka Sasa wamepoteza Askari wangapi?kiuno wakati unaskia wanajeshi wa russia wanavyokata roho na majenerali wao, anadhoofishwa russia kitaalamu wewe uko mbagala huwezi jua chochote
Nimewahi sikiliza mjadala mmoja wiki iliyopita , wanasema urusi ijatumia nguvu yake halisi ya kivita hasa ya anga ikiwemo makombola na ndege za kivita.Mpaka sasa Russia still yupo kwenye operation ya kawaida ndio maana hajawai gusa supply root ya Ukraine kama rail, airport sasa vita kamili ikianza Kwanza Ukraine itakatwa na Poland, pili hakutakuwa na kiwanja kitakachobaki hapo hautasikia warning ila west watakuja wanaongelea humanitarian we mpaka sasa ofisi za mameya zinafunguliwa na ikulu haijaguswa hata na baruti
Baadhi ya wanajeshi wa Russia wanagoma kwenda front kupambania nchi yao so lazima mzee alielie maana anaona wazi wazi kila kukicha afadhali ya jana. 👇👇👇👇👇👇👇👇Sasa mbona huwa analia lia, na kutishia nuclear!
Mara nyingi ikitokea vita propaganda zinakuwa Ni nyingi sana.Rais Vladimir Putin amekosoa Mataifa ya Magharibi yanayoendelea kuipatia Ukraine silaha, akisema yanalenga kuendeleza Vita kati ya Urusi na Taifa hilo
Amesisitiza kuwa, kupeleka silaha hizo hakubadilishi hali ya Jeshi la Ukraine. Viongozi wa Urusi wamekuwa wakionya uamuzi wa Marekani kuipatia Ukraine silaha za masafa marefu
Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, Hanna Malyar aliomba Mataifa ya Magharibi kuendelea kutoa silaha kwa Taifa hilo ili kusaidia kupambana na Urusi
========
Russian President Vladimir Putin has warned the West against providing Ukraine with long-range missiles, as Moscow claimed it had struck targets in Kyiv, destroying tanks and other armoured vehicles supplied by Western countries.
Putin warned that he would hit new targets if advanced rocket systems were supplied to Ukraine, adding that new arms deliveries to Kyiv are aimed at “prolonging the conflict”.
Moscow “will draw the appropriate conclusions and use our arms…. to strike at those targets which we have not yet been hitting,” the Russian leader said without specifying which targets he meant.
His remarks come days after US President Joe Biden announced the US would send “rocket systems that can strike into Russia”, but a day later announced he had decided to provide Ukraine with “more advanced rocket systems and munitions”, without mentioning the systems by name.
Ukraine has been seeking Multiple Rocket Launch Systems (MLRS) such as the M270 and M142 HIMARS to hit troops and weapons stockpiles at the Russian forces’ rear.
While Kyiv has stressed it would not hit targets inside Russia, there are concerns that providing such weapons would risk drawing the US and its NATO allies into direct conflict with Moscow.
Russian officials have repeatedly warned that the US decision to supply Ukraine with advanced rocket systems could exacerbate the conflict.
Putin also insisted it would not bring on any fundamental changes on the battlefield.
Speaking to the Rossiya-1 state television channel, he said the “fuss” around Western weapon supplies to Ukraine was designed to drag out the conflict.
“We understand that this supply from the United States and some other countries is meant to make up for the losses of this military equipment,” Putin said.
telegram kuna taarifa za side zote. tafuta moja ya upande wa urusi inaitwa INTEL SLAVAYani tangu Vita vianze wanokufa na wanopoteza maisha wanaotangwazwa Ni wanajeshi wa urusi na magenerali wa urusi tuu, sijawahisikia Kuna kiongozi yoyote au wanajeshi wa Ukraine kauwawa huko.
Hata vifaru na magari Naina vinavyo alibiwa Ni vya urusi tuu, vya Ukraine sioni hata kimoja. Sasa hizi vyanzo vya taharifa Wenda vinaeza kuegemea upande mmoja. Bado hatujapata chanzo kizuri Cha habari kinachoweza kutoa taharifa za uhakika.
telegram kuna taarifa za side zote. tafuta moja ya upande wa urusi inaitwa INTEL SLAVA
telegram kuna taarifa za side zote. tafuta moja ya upande wa urusi inaitwa INTEL SLAVA
Hajagusa Airport fields..? mzee unaishi kwe dunia gani. Muwe mnafuatilia hata vyombo vya habari basi. Ni juzi tu hapa Russia wamefanya shambulizi kwenye njia za reli. Wewe umeona ile ndege kubwa kabisa iliahambuliwa wapi kama sio uwanja wa ndege kwenye hangar kabisa.Mpaka sasa Russia still yupo kwenye operation ya kawaida ndio maana hajawai gusa supply root ya Ukraine kama rail, airport sasa vita kamili ikianza Kwanza Ukraine itakatwa na Poland, pili hakutakuwa na kiwanja kitakachobaki hapo hautasikia warning ila west watakuja wanaongelea humanitarian we mpaka sasa ofisi za mameya zinafunguliwa na ikulu haijaguswa hata na baruti
Sjui hata wanachoongea hawa, watu wanafanya kweli huko wao wanabaki kujichekesha [emoji23]
Ukraine alitaka kuingia mikataba ambayo maadui wa Russia wangekuja kuweka silaha zao hapo kwake kuhatarisha usalama wa urusi kwhyo anaadhibiwa kwa ujinga wakeEbu niulize jamani, Kinachofanya hawa wapigane ni nini?
Hzo story zenu za vijiwe vya kahawa eti Malawi awe anajua hadi mkuu anapolala mbona hayo mafuta hawajachimbaUnajua huwezi enda kichwa kichwa lazima watege maspya wakuwata taarifa ili wasije kula la vichwa kumbuka sisi na Malawi waliposema wanajua hadi mkuu anapolala ikabidi tukapige goti kwa wakuu
Vita si mchezo,, US na NATO wamepigana afaghnistani miaka 21,, ikabidi wakimbie,,Vita inaenda miezi 3 sasa? Acha utani mkuu. Tupo tunautafuta mwezi wa 4 huu.
Zitarejesha hizi %zilizokombwa MKUU ama ndio zitakuja tu kusababisha %mingine kama hizo ziondokeHizo silaha zitakuwa 'game changer' kwenye hii vita
Si ndo wanazisaga kama karanga kila sikuTunataka awashambulie hao watoaji silaha kama alivyotoa onyo.
Si ndo wanazisaga kama karanga kila sikuTunataka awashambulie hao watoaji silaha kama alivyotoa onyo.
mpka vita inaisha ukrein watakuwa na deni ambalo halilipiki mmarekani mjanja sana kamuingiza chaka ili amuuzie silaha 😁Awanyooshe wakati yeye ananyooshwa huko…vita inaenda miezi 3 sasa Ukraine anampeleka puta watu jana wameua general mwingine huko…wewe umeshiba makande yako eti moto upo palepale [emoji23][emoji23][emoji23]