Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua.

....tumeitisha jeshi lote la akiba.

....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia.

Putin.

Nb: Ndugu zangu tuombe Mungu atunusuru.
 
Mrusi wa buza nimemaindi sana baada ya Putin kushindwa kuipiga Ukraine kwa siku 3 na mimi mtaani niliwaaminisha watu kiwani vita ya siku 3 tu.
Tulia mrusi wa buza ngoja wanaotetewa na Mwamba waamue hatma yao kwenye kura inayotarajiwa,Mwamba anaingia mzigoni mazima SII Kwa kuwabembeleza mabeberu na vibaraka wao🤸
 
Mtu akikupa zawadi ya kalamu unaweza andika nayo ujumbe au ukaitumia kutoboa macho ya jirani yako. Putin kapewa russia, nchi kubwa yenye nguvu, namna anavyoitumia muda utasema.
 
Back
Top Bottom