Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Putin na Zelensky wasichokijua wanawachezea .Duu mpaka jeshi la akiba anatia huruma .US anataka kuvuruga uchumi wa Ulaya pamoja na zilizokuwa nchi za soviet union.Hana jipya
 
Hakuna mrusi yoyote wa tandale hapa akatupa tafsiri kidogo? Ila kama kadhamiria kufanya escalation huenda hali ikawa mbaya zaidi, bado kule mchina na Taiwan.....tutegemee hali ya uchumi wa dunia kuendelea kudorora, hasa ikiathiri zaidi nchi zenye uchumi legelega ikiwemo Tozonia.
 
Huyu ni mtu mwenye roho ngumu kivita na mtaalamu vilevile

Pale Mondi alivyokuwa anamwambia aachana na vita kama anataka biashara na kuitikia ataacha haraka nilimwelewa anamaanisha nini

Kitendo cha kuwaondoa wanajeshi wake na kutelekeza silaha baadhi ya watu walifikiri ameshindwa lakini ni technic kwenye military science iitwayo REOG au Reorganisation ambayo watu walitafsiri ni Surrender kitu ambacho sii kweli
 
Putin na Zelensky wasichokijua wanawachezea .Duu mpaka jeshi la akiba anatia huruma .US anataka kuvuruga uchumi wa Ulaya pamoja na zilizokuwa nchi za soviet union.Hana jipya
La akiba wanaenda kulinda mipaka hao walio active wanaingia uwanjani, huwezi ukaenda kulinda mipaka na wanajeshi wanaotakiwa kuwa uwanjani....na hapo amesema kaita 1% ya jeshi lake..bado anauwezo wakuita warusi milioni 25 waingie vitani......ndo maana kaita tu ni partial mobilization, wakimtibua zaidi anaweza hata kuweka full mziki
Screenshot_20220921-120256_RT News.jpg
Screenshot_20220921-120312_RT News.jpg
 
Putin amesema atafanya partial mobilization.
Hapa tunadanganywa tu Waafrika. Hizi vita wanataka kuzihamishia Afrika. Ndiyo maana Samia Suluhu sasa hivi yupo Msumbiji. Putin alikuwa anasema juzi(juzi, maana yake,two days ago), kwamba wao(Warusi) wakienda UNO katika huu mkutano wa Baraza Kuu,wataongea tu kuhusu International peace keeping efforts.
 
Huyu ni mtu mwenye roho ngumu kivita na mtaalamu vilevile

Pale Mondi alivyokuwa anamwambia aachana na vita kama anataka biashara na kuitikia ataacha haraka nilimwelewa anamaanisha nini

Kitendo cha kuwaondoa wanajeshi wake na kutelekeza silaha baadhi ya watu walifikiri ameshindwa lakini ni technic kwenye military science iitwayo REOG au Reorganisation ambayo watu walitafsiri ni Surrender kitu ambacho sii kweli
Russia hana jipya asaiv mtampamba tu kujipa moyo but deep down yeye yenyewe anatamani hii vita iishe maana ni aibu tu kwa sasa hamna nchi yoyote ina fear nae kwenye military fight ulaya mzma
 
Nasikia juzi kapiga mitungi ya Nuclear ya ukraine bahati tu haijagonga kwenyewe.imeharibu tu miundombinu

Huyu mtu adhibitiwe
Nani mwenye ubavu wa kumdhibiti !! Labda majenerali wake wamgeuke lakini Nchi zozote duniani hazina uwezo wa kumdhibiti !! Kama vitatokea vita vya Nyuklia vitakuwa vimesababishwa na kiherehere cha Marekani na wala sio NATO maana bila Marekani NATO hakunaga !!
 
Huyu ni mtu mwenye roho ngumu kivita na mtaalamu vilevile

Pale Mondi alivyokuwa anamwambia aachana na vita kama anataka biashara na kuitikia ataacha haraka nilimwelewa anamaanisha nini

Kitendo cha kuwaondoa wanajeshi wake na kutelekeza silaha baadhi ya watu walifikiri ameshindwa lakini ni technic kwenye military science iitwayo REOG au Reorganisation ambayo watu walitafsiri ni Surrender kitu ambacho sii kweli
Wewe ni mtaalamu !!
 
Back
Top Bottom