Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Huyu ni mtu mwenye roho ngumu kivita na mtaalamu vilevile

Pale Mondi alivyokuwa anamwambia aachana na vita kama anataka biashara na kuitikia ataacha haraka nilimwelewa anamaanisha nini

Kitendo cha kuwaondoa wanajeshi wake na kutelekeza silaha baadhi ya watu walifikiri ameshindwa lakini ni technic kwenye military science iitwayo REOG au Reorganisation ambayo watu walitafsiri ni Surrender kitu ambacho sii kweli
Ndiyo unavyowadangaya kwenye vijiwe vya kangara?. 😂😂
 
Huyo Russia mwenyewe alikuwa na silaha za kizamani, akabaki anaamini kuwa ni mbabe, baada ya kuingia kwenye mapambano ndio amejua kuwa yuko outdated. Atatumia nuclear kweli maana anaona aibu kushindwa vita. Ni kama CCM kabisa, huwa wanaamini wanapendwa, ikifika uchaguzi wanaona matokeo hayawabebi inabidi wapore uchaguzi kuepuka aibu.
Kumbe kutumia nyuklia inaashiria uwezo mdogo?
Kumbe us alishindwa vita na wajapan ndio maana akatumia nyuklia??
Basi putin atakua sahihi akitumia nyuklia maana anaenda kushindwa vita na us

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
ndo mana anawatunza swala lakumdhibiti lilikua gumu Mana hakukua na kanuni Wala Sheria zake

Einstein ndio alaumiwe

1--aliseti formula kwa aagizo la Hitler

2--akawatonya marekani wakamchukua lakini akatengeneza kwajili yakutolea mfano kuleta utulivu duniani

Ndipo baada ya heroshima ikatungwa Sheria yakuthibiti

Mpaka kifochake alijuta
Mkubwa siku zote akikosea husema bahati mbaya ila mdogo atalaumiwa maisha yake yote, ingekua mrusi ndio alitumia nyuklia basi wangekua na vikwazo hadi leo hii nchini mwake

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Hilo lingewezekana kama us asingejipendekezamo

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Siyo kweli; Urusi alibnawa tangu mwanzo tu, akaishia kubadili gia angani kuwa anahamishia majeshi huko Mashariki. Marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine silha ikiamini kuwa jeshi la urusi ni Imara sana, ila baada ya jeshi kuwa linapoteza majenerali kwa njia za kijinga ndipo Marekani ikaamua kuisaidia Ukraine baada ya miezi mitatu ya vita. Iwapo Marekani ingeisaidia Ukraine tangu mwanzo huenda kusingekuwa na vita kabisa kwani urusi ingefeykwa kabla hata jaijaaza vita kwa vile ilikuwa inafanya mobilization za kizamani sana. Angalia mobilization ya jeshi la Urusi; unadhani kama kweli Ukraine ingelikuwa na HIMARS za marekani wakati huo jeshi hili lingesalimika?

1663771569028.png

1663771609332.png
 
Huyu ni mtu mwenye roho ngumu kivita na mtaalamu vilevile

Pale Mondi alivyokuwa anamwambia aachana na vita kama anataka biashara na kuitikia ataacha haraka nilimwelewa anamaanisha nini

Kitendo cha kuwaondoa wanajeshi wake na kutelekeza silaha baadhi ya watu walifikiri ameshindwa lakini ni technic kwenye military science iitwayo REOG au Reorganisation ambayo watu walitafsiri ni Surrender kitu ambacho sii kweli
Hizo ni stor za kwenye kanga bro. Huyu jamaa kashapigwa. Kilichotokea ni kuwa sasa hiv anaenda kuwatangazia wananchi wake kuwa nchi iko vitan rasmi sio opereshen tena. Kwahiyo hakuna chaguo kila mtu ajiandae kwenda vitan muda wowote ikibid kwa lazima sio hiari. Anasema atatumia uwezo wake wote hajui pia upande wa pili wamejiandaa kwa hilo. Lakin kwasasa hiv hii ngoma inakoenda kwa mtizamo wangu huyu jamaa maisha yake ni mafupi sana. Kutoka ndan yake. nawashirika washamkchoka. Japo binafs nataman tu vita iishe. Maisha yaendelee.
 
Siyo kweli; Urusi alibnawa tangu mwanzo tu, akaishia kubadili gia angani kuwa anahamishia majeshi huko Mashariki. Marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine silha ikiamini kuwa jeshi la urusi ni Imara sana, ila baada ya jeshi kuwa linapoteza majenerali kwa njia za kijinga ndipo Marekani ikaamua kuisaidia Ukraine baada ya miezi mitatu ya vita. Iwapo Marekani ingeisaidia Ukraine tangu mwanzo huenda kusingekuwa na vita kabisa kwani urusi ingefeykwa kabla hata jaijaaza vita kwa vile ilikuwa inafanya mobilization za kizamani sana. Angalia mobilization ya jeshi la Urusi; unadhani kama kweli Ukraine ingelikuwa na HIMARS za marekani wakati huo jeshi hili lingesalimika?

View attachment 2363784

View attachment 2363785
Na walikuwa wanasafiri karibu karibu

Anachofanya sahv ni kuongeza wanajeshi kitu kitachowapa advantage kwenye idadi ya wanajeshi, ila thinking yao ya kivita na vifaa vyao vishapitwa na wakati
 
Unaielewa vizuri Urusi au unaisikia sikia tu ?? Urusi inazo silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuziangamiza Dunia 5 zenye ukubwa kama hii Dunia !! Na Marekani naye ni Vivyo vivyo!! Je bado huoni hatari ya vita hivyo kama vitaendelea zaidi ??!! Tutaisha wote Mzee hakuna atakayesalimika !!
 
Jeshi la Urusi siyo sophisticated kama wengi tulivyodhani. Limebanwa na Ukraine ambaye ni kama haikuwa na jeshi kabla ya kuvamiwa na sasa Putin analalamika kuwa anapigana na NATO. Jeshi sophisticated haliwezi kurusha mabomu hovyo hovyo na mengi kupotea bila kuwa na effect yoyote. Kazi ya jeshi la Urusi ni kubomoa miundo mbinu ya kiraia na kuua raia tu; siyo kupigana vita na jeshi jingine. Ndiyo maana wamepoteza majenerali pamoja na makanali lukuki.

View attachment 2363716
Wameishia haribu uoto
 
Siyo kweli; Urusi alibnawa tangu mwanzo tu, akaishia kubadili gia angani kuwa anahamishia majeshi huko Mashariki. Marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine silha ikiamini kuwa jeshi la urusi ni Imara sana, ila baada ya jeshi kuwa linapoteza majenerali kwa njia za kijinga ndipo Marekani ikaamua kuisaidia Ukraine baada ya miezi mitatu ya vita. Iwapo Marekani ingeisaidia Ukraine tangu mwanzo huenda kusingekuwa na vita kabisa kwani urusi ingefeykwa kabla hata jaijaaza vita kwa vile ilikuwa inafanya mobilization za kizamani sana. Angalia mobilization ya jeshi la Urusi; unadhani kama kweli Ukraine ingelikuwa na HIMARS za marekani wakati huo jeshi hili lingesalimika?

View attachment 2363784

View attachment 2363785
Nadhani ni moja ya mobilization ya kipumbavu kwenye dunia ya sasa
 
Hizo ni stor za kwenye kanga bro. Huyu jamaa kashapigwa. Kilichotokea ni kuwa sasa hiv anaenda kuwatangazia wananchi wake kuwa nchi iko vitan rasmi sio opereshen tena. Kwahiyo hakuna chaguo kila mtu ajiandae kwenda vitan muda wowote ikibid kwa lazima sio hiari. Anasema atatumia uwezo wake wote hajui pia upande wa pili wamejiandaa kwa hilo. Lakin kwasasa hiv hii ngoma inakoenda kwa mtizamo wangu huyu jamaa maisha yake ni mafupi sana. Kutoka ndan yake. nawashirika washamkchoka. Japo binafs nataman tu vita iishe. Maisha yaendelee.
Endeleeni kujifariji
 
Na walikuwa wanasafiri karibu karibu

Anachofanya sahv ni kuongeza wanajeshi kitu kitachowapa advantage kwenye idadi ya wanajeshi, ila thinking yao ya kivita na vifaa vyao vishapitwa na wakati
Vimepitwa na wakati huku ukraine nae alikua anatumia hivyo hivyo........kwanini utumie bunduki umalize risasi zako wakati adui yako anatumia shoka tu
 
Huwa daima naamini BAVICHA kinachowakwamisha ni kutokuwa well-informed na bado imani hii nimeendelea kuwa nayo.

Kaka achana na uBAVICHA utakulemaza akili na uwezo wako wa kufikiri, angalia sasa kila mtu atataka kujua kiwango chako cha elimu na ninaamini elimu unayo nzuri tu ila ukasumba wa uBAVICHA was kutokuwa well informed unakuumbua

Kuwa well informed huku Russia aliamini anashinda ndani muda mfupi! Elimu yangu ni ya la 7B.
 
Kumbe kutumia nyuklia inaashiria uwezo mdogo?
Kumbe us alishindwa vita na wajapan ndio maana akatumia nyuklia??
Basi putin atakua sahihi akitumia nyuklia maana anaenda kushindwa vita na us

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Hakujua kuwa hana uwezo huo wa kivita, ndio maana anaenda kutumia silaha ambazo hakutarajia. Hizo nuclear alijua atatumia siku akipambana na US. Kama anaenda kutumia nuclear sasa, alingoja nini muda wote?
 
Alikua anangoja achokozwe kwenye mipango yake na us keshaingia kwenye 18 zake

Back
Top Bottom