Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

Siyo kweli; Urusi alibnawa tangu mwanzo tu, akaishia kubadili gia angani kuwa anahamishia majeshi huko Mashariki. Marekani ilisita sana kuisaidia Ukraine silha ikiamini kuwa jeshi la urusi ni Imara sana, ila baada ya jeshi kuwa linapoteza majenerali kwa njia za kijinga ndipo Marekani ikaamua kuisaidia Ukraine baada ya miezi mitatu ya vita. Iwapo Marekani ingeisaidia Ukraine tangu mwanzo huenda kusingekuwa na vita kabisa kwani urusi ingefeykwa kabla hata jaijaaza vita kwa vile ilikuwa inafanya mobilization za kizamani sana. Angalia mobilization ya jeshi la Urusi; unadhani kama kweli Ukraine ingelikuwa na HIMARS za marekani wakati huo jeshi hili lingesalimika?

View attachment 2363784

View attachment 2363785
Alianza kumsaidia mapema sana hata mwezi haukuisha ndio us wakatenga bajeti ya kumsaidia,

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Russia hana jipya asaiv mtampamba tu kujipa moyo but deep down yeye yenyewe anatamani hii vita iishe maana ni aibu tu kwa sasa hamna nchi yoyote ina fear nae kwenye military fight ulaya mzma
[emoji629]The Bundestag deputy called those who support the supply of weapons to Kiev "insane".

Sarah Wagenknecht called on the federal government to get out of the spiral of escalation.

Haya kakojoe ukalale MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Russia mwenyewe alikuwa na silaha za kizamani, akabaki anaamini kuwa ni mbabe, baada ya kuingia kwenye mapambano ndio amejua kuwa yuko outdated. Atatumia nuclear kweli maana anaona aibu kushindwa vita. Ni kama CCM kabisa, huwa wanaamini wanapendwa, ikifika uchaguzi wanaona matokeo hayawabebi inabidi wapore uchaguzi kuepuka aibu.
Nyuklia nazo ni silaha
Akiona zinafaa kutumiwa kwanini asitumie MKUU
Hazijajengwa ziwe sehem yamaonesho zile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kumsaidia mapema sana hata mwezi haukuisha ndio us wakatenga bajeti ya kumsaidia,

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Vita ilipoanza, Ukraine ilijhiandaa kwa kugawa Rifle na molotov cocktail; hawakuwa na silaha za kivita za kupambana ana kwa ana na Urusi. Marekani ilianza kwa kutaka kumhifadhi Rais wa Ukraine kwa kutegemea kuwa Ukraine isingeweza vita ile. Misaada ya silaha ilikuja baadaye sana baada ya Urusi kubwana na kushindwa kuikamata Kyiev ndipo Marekani ikaanza kutoa misaada ya silaha za kujikinga.

Silaha za mashamabulizi kama hizi Himars zimekuja baadaye sana.
 
Ukraine ni kichaka tu. Anayepigana naye ni USA + NATO 99%

Kwa msingi huu USA na malaya wake NATO wamefeli sana. Wameshindwa kuiondoa Urusi wakati walifahamu tangu vita vinaanza na walianza naye.
Vita si ya US wala NATO. Ukraine kavamiwa anataka ardhi yake. Hana silaha kadaidiwa.
Wamesaidia silaha tu si kwa kiwango kikubwa.
Na hawajatuma wanajeshi wowote
Nashanga sana ukraine anavyoondolewa kwenye picha wkt yeye ndio key player.
 
Zelensky yeye ni mshereheshaji wa vita vinavyopiganwa nchini mwake. Hadi sasa anatambua fika kuna mabeberu 30 yanapumulia nyuma ya mgongo wake na isingekuwa hao mabeberu huenda tungeshamsahau.
 
Zelensky yeye ni mshereheshaji wa vita vinavyopiganwa nchini mwake. Hadi sasa anatambua fika kuna mabeberu 30 yanapumulia nyuma ya mgongo wake na isingekuwa hao mabeberu huenda tungeshamsahau.
Sasa urusi anashindwaje kuyamaliza mabeberu kama uwezo anao?
 
HIMMARS🤔
FB_IMG_1663820073247.jpg
 
Back
Top Bottom