smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
ukraine kaponzwa kwa tamaa, nyege na kiherehere chake cha kutaka kumpa hifadhi mmarekani ilhali anajua kabisa mrusi asingekubali maana anamchukulia mmarekani kama his number one enemy.Kiburi Cha mwanadamu kinaenda kutolea mfano Ukraine ,maskini Ukraine wenye kiburi wanakuponza
hata mimi katika hali ya kawaida ya kibinadamu siwezi nikakubali jirani yangu amkaribishe adui yangu ktk makazi yake halafu nikae tu kizembe bila kuanzisha figusu.
kwanza nitawachukia wote, halafu nitaanzisha mikakati inayoonekana na isiyoonekana kuhakikisha you all go down.