Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mrusi hapigani na Ukraine ikiwa peke yake.Mrusi wa buza nimemaindi sana baada ya Putin kushindwa kuipiga Ukraine kwa siku 3 na mimi mtaani niliwaaminisha watu kiwani vita ya siku 3 tu.
Kwanini hakudhibitiwa aliyepiga Nuclear Hiroshima na Nagasaki?Nasikia juzi kapiga mitungi ya Nuclear ya ukraine bahati tu haijagonga kwenyewe.imeharibu tu miundombinu
Huyu mtu adhibitiwe
Tulia mrusi wa buza ngoja wanaotetewa na Mwamba waamue hatma yao kwenye kura inayotarajiwa,Mwamba anaingia mzigoni mazima SII Kwa kuwabembeleza mabeberu na vibaraka wao🤸Mrusi wa buza nimemaindi sana baada ya Putin kushindwa kuipiga Ukraine kwa siku 3 na mimi mtaani niliwaaminisha watu kiwani vita ya siku 3 tu.
Seheme pekee uliyotakiwa kuwa ni mirembe tu, tena chini ya uangalizi ktk chumba maalumuNguzo pekee aliyobakiza ni kutumia nyuklia pekee.
Ukraine ameishakuwa impowered na hao NATO.
Yaweza kuwa myukrain wa buza kwakuwa unajua idadi ya Ile sisahayenu pendwa Himmars mlizopewa na mabeberu wa NAToSeheme pekee uliyotakiwa kuwa ni mirembe tu, tena chini ya uangalizi ktk chumba maalumu
Sasa ndio mtajua urusi ninini?
Kiburi Cha mwanadamu kinaenda kutolea mfano Ukraine ,maskini Ukraine wenye kiburi wanakuponza
Anapigana na nani sasa wakati toka mwanzo alipiga mkwara mtu mwingine asiingilie na atakayeingilia atakiona cha moto.Mrusi hapigani na Ukraine ikiwa peke yake.