Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

Bado US yupo Taiwan anapiga jalamba ili kumvuta mchina aingie kwenye 18 zake.
 
Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo

Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi kukikwa kila uchwao na nchi mbalimbali hasa za Ulaya na Marekani

Ilifika wakati, nchi zikawa zinapeleka silaha pepupe pe bila uficho na hakuna alichofanya huyu mwamba wa kuongea

USA ikafikia hatua anatangaza kabisa na kiwango cha fedha zikazotumika kuifadhili Ukraine na bado hakufanya kitu

Tukafikili labda wanasubirishia kwenye kona ili kidhihirisha kauli yake

Marafiki wa Urus huko Mashariki ya kati wanataabishwa na hafanyi chochote kujaribu kuwatetea

Yemeni inatandikwa na hao asiowapenda, hapa ilipaswa sasa Putin aoneshe umwamba wake kwa kuwalinda na kuwatetea ili kweli dunia iseme, yeye ndiye super power!

Marekani anawaandika Houth na pia anawatandika Wapalestine kwa mgongo wa Israel na bado anagawa mabilioni ya dollar huko Ukraine ili mrusi achezee za uso, halafu yeye putini kabaki kuongea tu bila kufadhili hata taifa moja linalonyanyaswa

Hapa kila mwenye akili lazima aseme, USA ni dude kuuubwa sana bado na linaogopeka kwa kila vitaifa

Mbali na kuongea saana, bado Ukraine kataifa kadoogo bado kanaendelea kumpa taabu sana
Ujinga ni mzigo sana. Tena sana .....
 
Ukraine ilishashindwa kivita mda mrefu,kwa sasa Nato na marekani ndio inayopambana na urusi.
Wakati NATO wanaanza kutoa msaada Ukraine walisema wametenga bajeti ya miaka 5 kwa Ukraine ili kujilinda dhidi ya Ukraine, wote humu ndani tuliwaona NATO vichaa kwa kutizama ukubwa wa Urusi dhidi ya Ukraine.

Kwa sasa tunathibitisha kuwa jamaa wana akili nyingi saana, Russia ameshikishwa mfupa ili jamaa waendelee na missions zao hapo mashariki na kati.
 
Vikao vya vikoba mbona kimya .... Vikwazo vyenu mbona mmevikiuka wenyewe mnanunua mafuta na gesi kutoka Kwa yuleyule .....
 
Wakati NATO wanaanza kutoa msaada Ukraine walisema wametenga bajeti ya miaka 5 kwa Ukraine ili kujilinda dhidi ya Ukraine, wote humu ndani tuliwaona NATO vichaa kwa kutizama ukubwa wa Urusi dhidi ya Ukraine.

Kwa sasa tunathibitisha kuwa jamaa wana akili nyingi saana, Russia ameshikishwa mfupa ili jamaa waendelee na missions zao hapo mashariki na kati.
Nini NATO wanachokifanya hapo Ukraine zaidi ya kuchapika?
 
Kitendo tu cha kuamini kwamba kila anae gombana na US basi ni rafiki wa Russia automatically inatosha kuonyesha namna usivo ielewa geopolitics. Lini Houthi ni washirika wa Urusi?
 
Ni Wajinga kama Houthis na Waisalam wenye itikadi kali ndio wako tayari kufanya suicide missions
 
Putin ni taasisi yule.Kuwa rais kwenye mataifa makubwa sio sawasawa na kuwa baba wa familia.Wana-access na taarifa nyingi na vyombo vingi vinafanyakazi chini na kuwaongoza...hawakurupuki..

Wewe umeandika utafikiri Putin ni rais wa Manzese..full hisia tu..
 
Back
Top Bottom