Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

Bado US yupo Taiwan anapiga jalamba ili kumvuta mchina aingie kwenye 18 zake.
 
Ujinga ni mzigo sana. Tena sana .....
 
Ukraine ilishashindwa kivita mda mrefu,kwa sasa Nato na marekani ndio inayopambana na urusi.
Wakati NATO wanaanza kutoa msaada Ukraine walisema wametenga bajeti ya miaka 5 kwa Ukraine ili kujilinda dhidi ya Ukraine, wote humu ndani tuliwaona NATO vichaa kwa kutizama ukubwa wa Urusi dhidi ya Ukraine.

Kwa sasa tunathibitisha kuwa jamaa wana akili nyingi saana, Russia ameshikishwa mfupa ili jamaa waendelee na missions zao hapo mashariki na kati.
 
Vikao vya vikoba mbona kimya .... Vikwazo vyenu mbona mmevikiuka wenyewe mnanunua mafuta na gesi kutoka Kwa yuleyule .....
 
Nini NATO wanachokifanya hapo Ukraine zaidi ya kuchapika?
 
Kitendo tu cha kuamini kwamba kila anae gombana na US basi ni rafiki wa Russia automatically inatosha kuonyesha namna usivo ielewa geopolitics. Lini Houthi ni washirika wa Urusi?
 
Ni Wajinga kama Houthis na Waisalam wenye itikadi kali ndio wako tayari kufanya suicide missions
 
Putin ni taasisi yule.Kuwa rais kwenye mataifa makubwa sio sawasawa na kuwa baba wa familia.Wana-access na taarifa nyingi na vyombo vingi vinafanyakazi chini na kuwaongoza...hawakurupuki..

Wewe umeandika utafikiri Putin ni rais wa Manzese..full hisia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…