Putin ni shahidi, Mtume na Nabii wa Zama zetu. Namuunga Mkono

Brother Robert Putin sio nabii ni muuaji tu kama walivo wauwaji wengine
 
Professorial Rubbish
 
Ulivyoanza na kauli hii "Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda" . Hii ni kauli iliyojaa ujuaji,mamlaka,maamuzi, sifa,majivuno n.k.

Ukweli huu hapa: HUIJUI na HUTAIJUA DUNIA ILIPOTOKA,ILIPO,NA WAPI INAENDA(MIMI NIKIWEMO)!!!!!!!!!!!!

Nb 1: Dunia inaendeshwa kwa usiri mkubwa mno.

Nb 2: Dunia inaendeshwa na kikundi kidogo mno cha watu (Mimi na wewe hatumo na hatutaweza kuwemo)

Nb 3: Wenye dunia yao wanaamua nini kitoke na kipi kisitoke na kwa wakati gani.Hicho unachokifahamu ndicho walichotaka ukifahamu!!!!!!!!!!

Nb 4: Wenye dunia yao wanajua yajayo (mimi na wewe) hatuyajui na hatutayajua!!!!!!!!!!!Mfano mdogo: Wewe unaweza kufahamu mtu atakayekuja kuwa Raisi wa Tanzania mara baada ya Samia????????? Wenye Tanzania yao wanamfahamu.

Nb 5: Vita vyote duniani chanzo chake kikuu ni RASILIMALI na siyo DINI wala IMANI!!!!!!!!!!! Fuatilia Mashariki mwa Ukraine KUMEGUNDULIWA NINI HIVI KARIBUNI kabla ya hii vita (operesheni ???)!!!!!!!!!!!!!

Nb 6: Uchumi wa dunia hutegemea NISHATI kwa asilimia kubwa kama siyo zote!!!!!!!!!!!!
 

Chanzo kikuu cha vita ni Ukosefu wa Upendo.
Kuhusu kugombea Rasilimali na maslahi yote hubebwa na ubinafsi na ulafi wa baadhi ya watu/viumbe.

Hakuna mwanadamu au kikundi cha watu anayeiongoza hii Dunia.
Mwanadamu aliumbwa ili aitawale hii dunia lakini mpaka sasa hajafanikiwa hata nusu ya misheni yake kuitawala hii Dunia. Hivyo kusema kipo kikundi kinaiongoza hii Dunia Hilo bado nitakataa.
 
Brother Robert Putin sio nabii ni muuaji tu kama walivo wauwaji wengine

Anaua kina Nani?
Kuua mashetani sio Dhambi.

Hao Magharibi ndio mashetani ni vile watu hujifanya wema kuwapumbaza watu waliowengi.
Historia inaonyesha hivyo na hata sasa tumezaliwa tumeshuhudia Kwa macho yetu hao Magharibi wanavyofanya mambo Yao.

Ilipaswa wawepo Putin Kama watano dunia nzima ili kuwadhibiti hao wahuni.
 
Hakuna cha Nabii wala Mtume hapo huu uzi ni takataka..

Tatizo mkiambiwa mtu Fulani ni Nabii mnafikiri nabii sio binadamu.
Manabii wote waliokuja Duniani walikuwa na madhaifu Yao mengi tuu kuliko huyo Putin.
Hata ukinitajia Nabii unayemuamini zaidi ninaweza kukuorodheshea madhaifu yake Kama mwanadamu WA kawaida tuu.

Putin mpaka ujue ni nabii ni mpaka umuangalie Kwa jicho la kinabii
 
Waafrika bana tunajifanyaga kujua meeengii. Tufanyeni kazi kwa bidii ili tuwe na uwezo wa milo mitatu kwa siku ili tufurahie ngono na umbea vitu tunavyopenda kuliko chochote tukisubiria kufa.

Sasa Kaka makengeza/maghayo unafikiri ni Jambo gani Waafrika tunalimudu?😀
 
Mimi sijazungumizia makosa na sipingi kuwa Manabii wa ukweli kukosa mapungufu bali ili mtu aitwe Nabii au Mtume lazima kuna sifa maalumu na huwezi kumpata Nabii au Mtume katika karne hii kwani ulishafungwa na Mwenyezi Mungu miaka Mingi iliyopita na ni makosa kuwaita majina hayo wakina ,Kakobe ,Suguye ,Mwamposa ,Putin nk kwani hawapokei ufunuo wowote wa kinabii kutoka kwa Mungu na ukiwauliza wapi Mungu kakuita Nabii na kasema amekutuma uwe Nabii hana ushahidi na majibu.
 
Urusi nchi ya kikomunisti ina uungu gani?, Kwa nini huwezi tenga dini na siasa?

Unafikiri Warusi hawana Dini?

Huwezi tenga Dini na Siasa Kwa sababu Siasa zinaanzia katika falme za rohoni.
Na kinachoelezea mambo yoyote ya rohoni ni Dini.
Huwezi kuwa Mtawala pasipo kuwa mtu wa dini Fulani, hiyo haiwezekaniki Dunia ingalipo.
Mamlaka inatoka katika falme za kiroho.
Ukishasema Utawala jua ushazungumzia miungu.

Mwanadamu mamlaka zake chanzo ni miungu.
Mambo yote mazito hapa Duniani yanayomtofautisha Mwanadamu na mnyama jua chanzo chake ni miungu.
Hata Teknolojia.
 

Unachosema ni kweli.
Na Putin hajawahi jiita Nabii, Mtume au Shahidi lakini Sisi ndio tumeshamuona anavigezo hivyo.
Tambua kuwa mtu anaweza kuwa Nabii au Mtume na asijijue hivyo ni ngumu kujiita yeye ni Nabii au Mtume.

Hata Mtume Muhammad SWA hakujijua yeye ni Nabii na Mtume mpaka Mkewe Bi. Khadija alivyoambiwa na Padri Walagah.
 
Wewe umechanganyikiwa au ubongo wako umedumaa.
 
Ebu njoo na andiko lako sahihi

JF Huyu mtu akija na andiko lililo sahihi mniite MBWA
 
NAMKUBALI SANA KING OF EAST PUTIN, YEYE HATAKI HIZI TAKATAKA. #

Team Rainbow mpo?
 
Unajua kile marekani anachokitafuta Urusi au Irani au mataifa yote yenye msimamo ya kiungu?
Hakuna dini hakuna Siasa?
Huwezi itenga dini na Siasa hata ungefanyaje.

Chanzo cha Siasa ni Dini.
hata kilicho muuwa yesu ni siasa
 
Unajichanganya sana.
Putin anapigania sana kuhusu huu mgogoro.
Putin alianza kuivamia Georgia akaja Crimea. Je kawamaiza hao mashetani huko kote? Kama bado hapo Ukraine atawamaliza?

West ni mashetani na wewe ni msabato dini iliyoanzishwa na mama wa kimarekani ambako mashetani wapo.
Kwanini usifuate dini ya mtume ambaye unampigia chapuo hapa?

Putin anapigania interest zake yeye binafsi na ma Oligarc kadhaa hapo Urusi hata warusi wenyewe hii vita hawaitaki. Acha kuleta upuuzi wa dini.
 
Sisi Tuko na Putin Kama Tulivyo na Mandonga Mpaka Mwisho Wa dahali..Wataanguka wote Ulaya hata sleeping Joe ataanguka ataiacha Russia the Land of Promise..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…