Putin ni shahidi, Mtume na Nabii wa Zama zetu. Namuunga Mkono

Naona unachanganya mambo mkuu, swala la mtu kutokuzwika haliusiani na kuabudiwa hata kidogo, swala la mtu kotokuzikwa inaweza kuwa ni maamuzi ya mtu binafsi wakati wa uai wake, taifa kumuenzi, makumbusho ya kihistoria ya kitaifa, maamuzi ya familia, maamuzi ya chama n.k

: Nyie kumzika mwalimu ni maamuzi yenu binafsi hayo, alafu pia inasemekana mwalimu mwenyewe aliomba akifariki azikwe asi hifadhiwe kwa ajili ya ukumbusho.
 
Ni kweli, hapa unaweza kuwa uko sahihi. Japo inaweza ikaibua mjadala kuhusu maana ya kuabudu.

Unaposema "Nyie kumzika mwalimu..." unajiexclude, wewe siyo mtanzania?
 
Acha ushoga mkuu
 
Acha ushoga mkuu
Kwa sababu hamna hoja yeyote ya maana, kwa hiyo kazi yenu ni kuwatoa watu kwenye mjadala ili waanze kujadili huo mchezo wenu wa ushoga. Hakuna mnachojua zaidi ya ushoga.
 
AFYA YA AKILI.
 
Unajua kile marekani anachokitafuta Urusi au Irani au mataifa yote yenye msimamo ya kiungu?
Hakuna dini hakuna Siasa?
Huwezi itenga dini na Siasa hata ungefanyaje.

Chanzo cha Siasa ni Dini.
Na ni kwabsababu wenye dini na siasa ni hao hao wanadamu,huwezi kuelewa hapa kama huna akili.safi mkuu
 
USISAHAU DINI NA IMANI NDIZO TAMADUNI ZENYEWE.JAPO UMEONGEA JAMBO ZITO SANA.
 
Na kama wanaamini ndie alielifikisha taifa lao pale lilipo atajuaje kama nafsini wanaamini ndie mungu wao.Mzimuni tunaamini matambiko ni njia ya kudumisha umoja kukutana na kudumisha undugu na umoja.labda kwao ni mzimu na alikamilisha unabii kwa taifa lake.
 

Sababu ya kuua wengine zipo nyingi Sana Mkuu.
Nakuorodheshea Kwa uchache Kwa ngazi ya kitaifa au kimataifa
1. Uhaini.
2. Usaliti Kwa kuiba na kutoboa Siri za nchi.
3. Kuchukua mpaka WA nchi. Inaweza pelekea mauaji.
4. Kuuawa Kwa Kiongozi mkubwa wa nchi na Nchi nyingine huweza pelekea vita(mauaji)
5. Nchi moja jirani kuungana na adui yenu Mkuu kama vile Ukraine inaweza pelekea mauaji/vita

6. Kuzuia Baadhi ya Trans- boundaries resources kama vile MTO au maziwa huweza sababisha mauaji/vita.
Mifano Uganda iseme inazuia MTO Nile lazima Misri wapigane vita na Uganda.

Hizo ni moja ya sehemu ya sababu zinazoweza kuhalalisha vita/mauaji.

Hata hivyo ulichosema ni kweli
 
Wewe ni kichaa kumbe. Eti kuhalalisha mauaji. Nyie ndio kama majinga ya system ya Tanzania yanaua yakidhani ni halali. Movie zisiwadanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…