ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
US ni mshenzi anafikiri kila watu anaweza kufanya atakachoAliyejenga vinu vya nyukilia Cuba 1961 hakua putin, Russia vs Us ni paka na panya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US ni mshenzi anafikiri kila watu anaweza kufanya atakachoAliyejenga vinu vya nyukilia Cuba 1961 hakua putin, Russia vs Us ni paka na panya.
🤣🤣🤣Unajua kuwa ikulu yao wanatumia old typewriters?
Hawa wanatumia akili ya kisiasa kuchanganua mambo ya kiusalama. Akili ya namna hii wanayo viongozi wa sasa wa magharibi na mchambuzi mmoja wa Marekani alisema hii inatokana na viongozi wengi wa sasa hawajui historia ya miaka ya nyuma, wanachofahamu wao ni kulewa ule ukubwa wa nchi zao zilipofikia. Hii imesababisha wanafanya maamuzi yenye kuleta hatari kubwa kwa usalama wa nchi zao na hata dunia kwa ujumla.Uko sahihi utakuta mtu ana sema Russia kashindwa wakati lengo kuu ni kutokuwa na mpaka na ukraine na kafanikiwa
No fly zone hio😂Umbali anaokaa Putin kwenye vikao😁😁😁
Kule mwanzo ni wenzake katika kikao hicho.
View attachment 2164869
Anaogopa wasije wakampaka polonium-210 kama alivyomfanya yule spy snitch early 2006 au?Umbali anaokaa Putin kwenye vikao[emoji16][emoji16][emoji16]
Kule mwanzo ni wenzake katika kikao hicho.
View attachment 2164869
Anaogopa polonium-210.Umbali anaokaa Putin kwenye vikao😁😁😁
Kule mwanzo ni wenzake katika kikao hicho.
View attachment 2164869
Wewe uko dunia ipi, unaaambiwa russia sasaiv ata miezi 4 bado wanapanga foleni kununua 2kgs za sukari kwa mteja mmoja na si zaidi ya hapoMwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama.
Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa haya kumuona Putin ni tishio kwa ustwai wa watu wao na pia kwa ustawi wa kiuchumi katika mataifa haya, hivyo lazima watafute namna ya kumshughulikia na ikibidi kumuondoa madarakani.
Unapoona Marekani kajiingiza mahal kijeshia au vinginevyo, basi ujue hapo kuna masilahi ya kiuchumi au sababu za kiusalama na hizi ndio sababu za Marekani kujiingiza katika mataifa ya Kiarabu na ikibidi hata kupigana vita waweke watawala ambao watakuwa vibaraka wao.
Kwa msingi huo, Putin kwa sasa lazima aondolewe kwa kutengenezewa fitina za kisiasa nchi mwake au kugombanishwa na wananchi wake kwa uchumi wa nchi yake kuvurugwa kupitia vikwazo, n.k.
Akiendelea kuwa kiburi huku akiendelea kutishia usalama na ustawi wa watu katika nchi hizi, basi atatafutiwa sababu kama zile za Saddam Hussein kuhalalisha uvamizi wa NATO na Marekani kumuondoa madarakani kwa gharama yoyote.
Kwa sasa mataifa haya yanaweza kuwa na mipango ya siri kumkabili Putin katika vita ya nyuklia ili kupunguza au kuondoa kabisa uwezekano wa Russia kutumia nyuklia au hata akizitumia, madhara yasiwe makubwa (wanawwza kumuwahi na kumvuruga kabisa au vinginevyo).
Wacha tusubiri.
Read between lines.Wewe uko dunia ipi, unaaambiwa russia sasaiv ata miezi 4 bado wanapanga foleni kununua 2kgs za sukari kwa mteja mmoja na si zaidi ya hapo
Huo uchumi unaoporoja hapa ataupata wapi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umbali anaokaa Putin kwenye vikao[emoji16][emoji16][emoji16]
Kule mwanzo ni wenzake katika kikao hicho.
View attachment 2164869
Sio rahisi Putin kuondolewa kama unavyofikiriMwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama.
Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa haya kumuona Putin ni tishio kwa ustwai wa watu wao na pia kwa ustawi wa kiuchumi katika mataifa haya, hivyo lazima watafute namna ya kumshughulikia na ikibidi kumuondoa madarakani.
Unapoona Marekani kajiingiza mahal kijeshia au vinginevyo, basi ujue hapo kuna masilahi ya kiuchumi au sababu za kiusalama na hizi ndio sababu za Marekani kujiingiza katika mataifa ya Kiarabu na ikibidi hata kupigana vita waweke watawala ambao watakuwa vibaraka wao.
Kwa msingi huo, Putin kwa sasa lazima aondolewe kwa kutengenezewa fitina za kisiasa nchi mwake au kugombanishwa na wananchi wake kwa uchumi wa nchi yake kuvurugwa kupitia vikwazo, n.k.
Akiendelea kuwa kiburi huku akiendelea kutishia usalama na ustawi wa watu katika nchi hizi, basi atatafutiwa sababu kama zile za Saddam Hussein kuhalalisha uvamizi wa NATO na Marekani kumuondoa madarakani kwa gharama yoyote.
Kwa sasa mataifa haya yanaweza kuwa na mipango ya siri kumkabili Putin katika vita ya nyuklia ili kupunguza au kuondoa kabisa uwezekano wa Russia kutumia nyuklia au hata akizitumia, madhara yasiwe makubwa (wanawwza kumuwahi na kumvuruga kabisa au vinginevyo).
Wacha tusubiri.
Amekwisha huyu ni suala la .muda tuUmbali anaokaa Putin kwenye vikao[emoji16][emoji16][emoji16]
Kule mwanzo ni wenzake katika kikao hicho.
View attachment 2164869
Wajaribu kwanza kumtoa kiduku ndio wafikirie kumtoa PUTIN.Baada ya mambo kuwa magumu, hii sasa wanaiita ni military operation na sio vita!
Only fools will understand this.