Putin: Thank GOD, European companies are leaving Russia

Putin: Thank GOD, European companies are leaving Russia

Mpaka sasa ubao unasoma Russia 30 vs EU 0
Ni kweli kabisa! Nchi za magharibi zilipoanza kuweka vikwazo, hazikutegemea kuwa urusi itastahimili. Ndio maana vikwazo vya mwanzo hawakulenga vikwazo ambavyo vingewaumiza wao. Walopoona havimgusi, wakalazimika kuweka viklwazo ambavyo hata wao vitawaumiza kama vile kuiondoa kwenye mtandao wa malipo ya kibenki wa kimataifa SWIFT. Bado wakaona jamaa amestahimili mwisho wakaanza kumwekea vikwazo vya mafuta ambavyo vimewaliza sana! Mpaka sasa wameshindwa kabisa kumwqekea vikwazo vya kuuza gesi maana wanaihitaji mno, na akawaambia nitawauzia kwa pesa yangu ya ruble!
 
Divide and rule mwisho wa siku Ukrain na Ulaya yote inakuwa na kiranja mpya na ukishateka Ulaya ndo basi tena, msione USA anapata tabu sana ktk kufadhili hii vita anajuwa ushindi wa PUTIN ni sifa kedekede kwake.
Kuna zile nchi za ulaya zimetangaza hapa karibuni kujiunga na NATO, inawezekana putin akaziweka kwenye mpango wake wa muda mrefu......hii ngoma inaonekana bado mbichi.
 
EU wakiwashe tu kwenye anga la Russia wakitokea Ujeremani ili tununue popcorn za kutosha...sema huu mtanange yuropa wanaogopa sana...
 
Nchi ilotabiliwa kwenye Bible itakuja kuangusha utawala wa mashetani
 
Back
Top Bottom