Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Ni kweli kabisa! Nchi za magharibi zilipoanza kuweka vikwazo, hazikutegemea kuwa urusi itastahimili. Ndio maana vikwazo vya mwanzo hawakulenga vikwazo ambavyo vingewaumiza wao. Walopoona havimgusi, wakalazimika kuweka viklwazo ambavyo hata wao vitawaumiza kama vile kuiondoa kwenye mtandao wa malipo ya kibenki wa kimataifa SWIFT. Bado wakaona jamaa amestahimili mwisho wakaanza kumwekea vikwazo vya mafuta ambavyo vimewaliza sana! Mpaka sasa wameshindwa kabisa kumwqekea vikwazo vya kuuza gesi maana wanaihitaji mno, na akawaambia nitawauzia kwa pesa yangu ya ruble!
Kuna taarifa nyingine hii US kalipa 2bln in rubles