Bujibuji hiyo ni chuki tu Kwa Sababu Hawa unaowaita Mashoga ndiyo wawekezaji kwenye nchi yako ,Wanawapa misaada hadi ya kujenga hospital s,shule na vyuo ,Bajeti yenu ya maendeleo wanawasaidia vipi Rusia ana msaada gani kwa Tanzania?
Pia kumbuka Ukureini anailinda nchi yake dhidi ya uvamizi wa Mrusi na kumbuka pia na sisi tuliilinda nchi yetu kipindi Idd Amin alivotaka kuichukua Kagera .
Lakini kumbuka kika Rais akiingia madarakani huapa kuilinda nchi yake ikibidi hadi kifo ndo anachokifanya Zelensky.
Na sisi kipindi tunapigana na Uganda tulisaidiwa na hao Marekani na Uingereza kiuchumi na vifaa vya kijeshi hadi tukashinda Kwa hiyo kabla hujatoa kashfa na chuki Kaa ufukilie kwanza .