Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Wakikutana zele aongezewe ulinz asije akaniniliwaNawaza tu,Putin ana blackbelt na Zelensky ni mtu wa maigizo flani hivi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikutana zele aongezewe ulinz asije akaniniliwaNawaza tu,Putin ana blackbelt na Zelensky ni mtu wa maigizo flani hivi...
Kubwabwaja kwake ndio kunakompa matokeo kwenye hiyo vita, wewe endelea kubwabwaja humu wakati Ucraine wakiendelea kumegeka bila kupata msaada wowote kwa huyo anayejiita Bigbrorher😄Homicidal dictator anabwabwaja tu
Style ya Uchezaji wa Putin, haina utofauti na ya marehemu mzee wetu Magufuli. Cheki hii video
Mkuu Extrovert, nilikuwa sijui na wewe ni mrusi 😂Eeh Rocket zetu hatupandishi wajinga wajinga bure 🤣🤣🤣
Mimi ni mtoto wa mjomba wake Putin wa Kremlin,Moscow.😂😂😂 Ninaifurahia sana operation ya blazaMkuu Extrovert, nilikuwa sijui na wewe ni mrusi 😂
Kuwa makini beberu wasikusikie wakakuwekea sanctions.....maana ushapigwa mkwara usichukue ngano hata kama una njaa ya kufa mtu.Mimi ni mtoto wa mjomba wake Putin wa Kremlin,Moscow.😂😂😂 Ninaifurahia sana operation ya blaza
Rocket za kiafrika za kichawiEeh Rocket zetu hatupandishi wajinga wajinga bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SahihPope Francis has doubled down on accusations that Nato may have “provoked” the war in Ukraine with Russia
![]()
Pope Francis: Nato may have provoked Russian invasion of Ukraine (but I’m not pro-Putin)
The pontiff insists there are ‘no good guys and bad guys’ in the conflictt.co