Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Ni kweli kabisa! Nchi za magharibi zilipoanza kuweka vikwazo, hazikutegemea kuwa urusi itastahimili. Ndio maana vikwazo vya mwanzo hawakulenga vikwazo ambavyo vingewaumiza wao. Walopoona havimgusi, wakalazimika kuweka viklwazo ambavyo hata wao vitawaumiza kama vile kuiondoa kwenye mtandao wa malipo ya kibenki wa kimataifa SWIFT. Bado wakaona jamaa amestahimili mwisho wakaanza kumwekea vikwazo vya mafuta ambavyo vimewaliza sana! Mpaka sasa wameshindwa kabisa kumwqekea vikwazo vya kuuza gesi maana wanaihitaji mno, na akawaambia nitawauzia kwa pesa yangu ya ruble!
Ni kwenye kifungu kipiNchi ilotabiliwa kwenye Bible itakuja kuangusha utawala wa mashetani
Kwa hiyo haisomeki au?
Sio hiyo tu USA kimya kimya ameomba auziwe mbolea kwa ajili ya kilimoKuna taarifa nyingine hii US kalipa 2bln in rubles View attachment 2260107
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio hiyo tu USA kimya kimya ameomba auziwe mbolea kwa ajili ya kilimo
hii ni vita aka live match na sio historia ya vita. kila wakati zinatoka updates mpya ,kutuletea news zilizopitwa muda ni kukosa taarifa ,unajichimbia huko kilandege unakuja kutoka huko kila habari unaona mpya, na kuonyesha uzwazwa wako unashare na watu na si tunakuona mshamba tu [emoji706]Kwa hiyo haisomeki au?
Akili mtu wanguDivide and rule mwisho wa siku Ukrain na Ulaya yote inakuwa na kiranja mpya na ukishateka Ulaya ndo basi tena, msione USA anapata tabu sana ktk kufadhili hii vita anajuwa ushindi wa PUTIN ni sifa kedekede kwake.
How ,!? Cry [emoji22][emoji38][emoji38][emoji38]Amepigwa pin kila upande amebaki na China pekee
[emoji38][emoji38][emoji38]Sio hiyo tu USA kimya kimya ameomba auziwe mbolea kwa ajili ya kilimo
sio najua kila kitu, kutuletea habari iliyotokea 2 weeks ago kama ndo news katikati ya vita yenye updates kila dakika isn't ok, sawa na leo umeingia yt unakuta wanasema Russia na Ukraine waingia meza ya makubaliano and unajua habari sio current then kwa kutokuelewa kwako unashare na watu as if ni current. sio sawaHakukuwa na ulazima wa wewe kutuonesha Unajua kila kitu,
Kama huna comment piga kimya coz nalo ni jibu
sijadharau mtu ,kwani kilandege wapajua wewe ni wapi? . ok ni eneo la migodini huko geita wanakopata watu mabillion ya pesa .ukiingia shimoni kuna taarifa wapata ? absolutely No. so dharau yangu iko wapi hapo?. au ni mbaya mtu kukaa shimoni akitengeneza pesa ndefu huku akikosa updates? No it's ok and very oky . Tatizo ni kutuonyesha kuwa haukuwa updated. Case closed usifanye mambo yakawa mengi mkuu comment yangu siyo sheria.Acha dharau,
Jifunze kuheshimu watu , itakusadia sana
Mbona umepaniki ki-noma noma hivyo kijana wetu?[emoji3][emoji3]Acha dharau,
Jifunze kuheshimu watu , itakusadia sana
Huenda jamaa ni HRM wa taasisi moja hivi, kumwambia ni wa kilandege anadhani amedharauliwa sana!! Msamehe [emoji1787][emoji1787]sijadharau mtu ,kwani kilandege wapajua wewe ni wapi? . ok ni eneo la migodini huko geita wanakopata watu mabillion ya pesa .ukiingia shimoni kuna taarifa wapata ? absolutely No. so dharau yangu iko wapi hapo?. au ni mbaya mtu kukaa shimoni akitengeneza pesa ndefu huku akikosa updates? No it's ok and very oky . Tatizo ni kutuonyesha kuwa haukuwa updated. Case closed usifanye mambo yakawa mengi mkuu comment yangu siyo sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] ndo maana nimeomba tuachane na hili mkuu. maana kusoma ni kitu na kutafsiri ni kitu kingine.Huenda jamaa ni HRM wa taasisi moja hivi, kumwambia ni wa kilandege anadhani amedharauliwa sana!! Msamehe [emoji1787][emoji1787]
Bujibuji hiyo ni chuki tu Kwa Sababu Hawa unaowaita Mashoga ndiyo wawekezaji kwenye nchi yako ,Wanawapa misaada hadi ya kujenga hospital s,shule na vyuo ,Bajeti yenu ya maendeleo wanawasaidia vipi Rusia ana msaada gani kwa Tanzania?Jumuia ya mashoga USA [emoji631] n European [emoji1099] Union wana hali mbaya sana.
Ficha ujuaji usio mantiki mkuu. Nazungumzia EU sizungumzii NATO.EU sio ushirikiano wa kijeshi.