Putin: Thank GOD, European companies are leaving Russia

Ficha ujuaji usio mantiki mkuu. Nazungumzia EU sizungumzii NATO.
"EU wakiwashe tu kwenye anga la Russia wakitokea Ujeremani ili tununue popcorn za kutosha".

Next time ukitaka kutoa hewa tumboni usivae earphones.
 
Kwani ni vibaya akiwaita mashoga
 
Eeh Rocket zetu hatupandishi wajinga wajinga bure 🤣🤣🤣
Mimi Kama kondakta tulikubaliana na dereva tumshushe, kifupi tulimshushe huko anga za mbali karibu na mwezini mtaa wa majengo.
Jamaa alitia huruma sana kwa bahati Putin akasema tumbebe tu umoja wa mashoga umeoipa pesa tena kwa ruble.
 
serikali za kidikteta hazijambo kweny kupika data , zenyew ni kupendwa 104% na kuingia uchumi wa kwanza huku employment rate ingiongezeka na umaskini ukishamili lkn kwa vile no freedom pf speech bas kiongoz hunena yale anaamin yatanpa credit kwa wasiopitia msoto kujiongezea ushawish
 
Divide and rule mwisho wa siku Ukrain na Ulaya yote inakuwa na kiranja mpya na ukishateka Ulaya ndo basi tena, msione USA anapata tabu sana ktk kufadhili hii vita anajuwa ushindi wa PUTIN ni sifa kedekede kwake.
ulaya haipatani na Urusi hata kabla huyo marekan hajaanza kutambaa , marekani karithishwa tu huo mgogoro kama hujui , Urusi ni moja ya mataifa yalisaidia Marekab kupata Uhuru na hata kujitanua barani Amerika ila huu uhasama Marekani karithishwa , so usitarajie ipo siku Ulaya itakubali kuwa chini ya Urusi , kwasababu nyingi tu kuanzia political ideology ni tofauti kbs
 
Muda mama anatafuta wawekezaji wa USA na Europe, muda huo huo wenye Akili nyingi wanafukuza na kuchukua fursa zilizochukuliwa na mataifa hayo na kuwapa wazawa
si km tulivyoua viwanda vingi Tanzania kuanzia kiwanda cha Pepsi bukoba , viwanda vya Urafiki ( nguo) , reli ya kaskazin , nk
 
EU wakiwashe tu kwenye anga la Russia wakitokea Ujeremani ili tununue popcorn za kutosha...sema huu mtanange yuropa wanaogopa sana...
Europe wapo diplomatic sana , hata wakichezaga bad plays wanahakikisha kuna picha za diplomacy kwa nje , Urusi anaelewa nguv ya NATO na ndio maana kila akitamka NATO anaweka kinga ya NUKES ni kama yule mtoto anasema ukiingilia nakupiga panga it means ntu pal haez
 
Nchi ilotabiliwa kwenye Bible itakuja kuangusha utawala wa mashetani
mbona hao Urusi ndo mashetan maana yapo makundi yasiyoamini dini kbs huko , ifike muda wavaa kobaz tuamke na kujitambua mmetumika sana kama TP , Putin anawatumia akimaliza ana wadump au kuja kuwaibia mafuta kama West walivyo fanya so its funny kuhisi Urusi itakupa unafuu if you are not awake
 
Nawaza tu,Putin ana blackbelt na Zelensky ni mtu wa maigizo flani hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…