Putin: Tutamjaza Iran kama US inavyompa silaha Ukraine

Putin: Tutamjaza Iran kama US inavyompa silaha Ukraine

|| RUSSIA 🇷🇺 || USA 🇺🇲 ||

🔴President Putin to Joe Biden:

"We will arm your enemies just like you arm the enemies of Russia.”•
Msikiti TV ni vichekesho tupu.. wacha tucheke tu.. hahahaha
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Iran's president says that Israel is no more stronger than Yemen,Lebanon and Hezbollah. We know how to take revenge from zoinist

Unaota mkuu
Breaking news from Msikiti TV hahahaha
 
Russia ana silaha chache za kumtisha Israel. Ni Iskander missile, submarines na nuclear weapons.
Options mbili za subs na nukes ni ngumu sana Russia kufanya hivyo, Iskander watajaribu kupambana nazo Israel. Ila silaha nyinginezo kama EW systems, Su-35, air defense systems si mambo yanayoshindikana kwa Israel.

Na uzuri Israel ikiona Urusi imeipa silaha Iran, Israel inaiuzia silaha Ukraine hasa ukizingatia silaha za NATO zina restrictions.
Israhell ipi yakuuza silaha hii hio inayopigana na hamas na kulalamika kwa sponsas wake
Israhell mlokua mnaambiwa ya 10s kwenye rank ya majeshi ni ile ya holiwudi yenyewe sijui hata kama 100s unaipata
Israhell bila msaada wa sponsaz angekua anapigana kwakutumia mawe muda huuu
Labda apeleke nyuklia hapa sawa ila hana silaha ya kumpa ukraine ili aregeshe maeneo yake
Kama hao wanaomsponsa yeye wamemsponsa ukraine nakashindwa kwenye vita itakua israhell
Mwisho israhell ile mlokua mnatuaminisha mlikua mnatudanganya nyie pamoja na zile MSM zenu
 
That will be a grave mistakes,no body fight Against Israelites and get away with it.Putin days are numbered? Mark my words.
|| RUSSIA 🇷🇺 || USA 🇺🇲 ||

🔴President Putin to Joe Biden:

"We will arm your enemies just like you arm the enemies of Russia.”•
 
US na Washirika wake akiwemo Saudi Arabia UAE Bahrain watatoa Kipigo cha kutoa fundisho kali kwa Ayatolah.
Waswahili wanasema maji yanafata mfeleji Saud Arabia atapotezwa peupe akajidai kusimama na US. Iran atawachapa Israel na America watajuta maisha yao kumsogelea Iran.
 
Waswahili wanasema maji yanafata mfeleji Saud Arabia atapotezwa peupe akajidai kusimama na US. Iran atawachapa Israel na America watajuta maisha yao kumsogelea Iran.
Hana huo ubavu WaIran wenyewe wameichoka hiyo Islamic Government,vita vikianza tu Wananchi wenyewe wanaiondoa.
 
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Iran's president says that Israel is no more stronger than Yemen,Lebanon and Hezbollah. We know how to take revenge from zoinist

Unaota mkuu
Huyo Ayatolah ni Chiz i kama Mgeni wake Haniya kauwawa hapo hapo Tehran Guest House yeye mwenyewe Ayatolah ataliwa kichwa Anytime.
 
Russia ngoja tu aige kunya kwa tembo safari hii warusi watakula nyasi na watatafuta kukimbilia nchi za magharibi.
 
Russia ana silaha chache za kumtisha Israel. Ni Iskander missile, submarines na nuclear weapons.
Options mbili za subs na nukes ni ngumu sana Russia kufanya hivyo, Iskander watajaribu kupambana nazo Israel. Ila silaha nyinginezo kama EW systems, Su-35, air defense systems si mambo yanayoshindikana kwa Israel.

Na uzuri Israel ikiona Urusi imeipa silaha Iran, Israel inaiuzia silaha Ukraine hasa ukizingatia silaha za NATO zina restrictions.

Ukraine ana pesa akizitoa wapi ??
 
Kwa mashabiki wa simba wangelingalisha hicho kitendo na ile kauli yao ya ubaya ubwela.
 
Wenye macho ya rohoni wanaposikia tetesi ya vita wameshatambua ni kitu gani kinachoendelea na hawatishiki na vita zaidi ya kufanya maandalizi ya roho zao kwa kuwa hakuna kitu walichofichwa na Bwana.
 
Putin anajua nyambizi yake imezamishwa Crimea?

Nae kawa mpiga domo kama rafiki zake wa Iran.
 
Back
Top Bottom