The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Cancer ziko nyingi sana. Cancer ipi au zote?Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer.
Soma zaidi.
Ingia mtandaoniSiamin kama putin anaweza kuongea kitu kama hicho..
Hilo ni pigo kwa makampuni ya dawa ulaya na marekaniNeno la faraja angalau asikike +vely.
Miaka kumi iliyopita niliona taarifa ya UN kwamba miaka kumi baadae saratani itakua muuwaji namba moja,na Leo ni dhahiri,ile miaka ya 90 saratani tuliona ni ugonjwa wa wazungu,Leo kwetu imekua Kama malariaIla saratani dah!