Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Inawezekana...Habari bila chanzo ni umbea tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana...Habari bila chanzo ni umbea tu!
Cancer inakuja popote kwenye mwili wa binadamu. Inaitwa kansa ya sikio kwa sababu imetokea sikioni au kizazi kwa sababu imetokea kwenye kizazi lakini source of the problem remains constant.Cancer ipi?
unauliza nini halafu nani kakwambia uni quote we mbwa.Ajenda zipi za magharibi? Cancer ni ajenda ya wamagharibi ?
Bullshit, Cancer ziko za aina tofauti sana na vyanzo vya cancer ni vingi na tofauti sana na hilo ni jambo mojawapo linalosababisha ugumu wa chanjo au matibabu yake.Cancer inakuja popote kwenye mwili wa binadamu. Inaitwa kansa ya sikio kwa sababu imetokea sikioni au kizazi kwa sababu imetokea kwenye kizazi lakini source of the problem remains constant.
A disease in which abnormal cells divide uncontrollably and destroy body tissue.Bullshit, Cancer ziko za aina tofauti sana na vyanzo vya cancer ni vingi na tofauti sana na hilo ni jambo mojawapo linalosababisha ugumu wa chanjo au matibabu yake.
Bullshit. Wisdom has been chasing you, but you have always been fasterBullshit, Cancer ziko za aina tofauti sana na vyanzo vya cancer ni vingi na tofauti sana na hilo ni jambo mojawapo linalosababisha ugumu wa chanjo au matibabu yake.
Poa mkuu sikuonaDah,nimekuwahi hii habari ndugu yangu
Ila happy amewatia hofu kubwa big pharma watanya kila njia isiwezekane lakini sidhani Kama watashindaYawezekana hata umri wa kuishi zaidi ya miaka 200 kuna wajanja wachache waliufupisha maslahi yao binafsi....
Si ungeituma posti yako DM kwa mwenye uzi kama hutaki mtu aku quote, una akili za panzi kweli wewe.unauliza nini halafu nani kakwambia uni quote we mbwa.
ukisikia wamagharibi huwa unawashwa washwa matqoSi ungeituma posti yako DM kwa mwenye uzi kama hutaki mtu aku quote, una akili za panzi kweli wewe.
Hali inaisha kwahakikaAcha tu,asubuhi supu na Pepsi,dozi za malaria kila baada ya miezi miwili,mama ntilie maharage anatumia Panadol kupika yaive haraka,kiwanda Cha dawa feki kimekamatwa kinyerezi,chips zilizokaangwa kwa mafuta ya transfoma,mafuta ya kula ambayo ni zao la dizeli nk
Sasa mjinga nani wewe sisi au PUT IN?Ujinga buana! Cancer zipo nyingi na hazina chanjo moja wala haziwezi kuwa na chanjo moja.
Putin kachanfanyikiwa na leo Meli yake imezamishwa huko.
[emoji28]Ujinga buana! Cancer zipo nyingi na hazina chanjo moja wala haziwezi kuwa na chanjo moja.
Putin kachanfanyikiwa na leo Meli yake imezamishwa huko.
Wewe unajua cancer ni nini?Muwe mnaelewa ndugu zangu putin anajua ukweli kuwa cancer ,ngoma etc ni biashara za marekani kutoa chanjo ninkuua kipato kikubwa cha kampuni za marekani
Neno la faraja angalau asikike +vely.
...... Na Tanzania je..!!Hilo ni pigo kwa makampuni ya dawa ulaya na marekani