Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

Miaka kumi iliyopita niliona taarifa ya UN kwamba miaka kumi baadae saratani itakua muuwaji namba moja,na Leo ni dhahiri,ile miaka ya 90 saratani tuliona ni ugonjwa wa wazungu,Leo kwetu imekua Kama malaria
Tena unatufyeka kweli kuliko hao wazungu
Nadhani sisi hua hatuyachukulii mambo kwa uzito
Au sijui nisemeje hapa
 
Tena unatufyeka kweli kuliko hao wazungu
Nadhani sisi hua hatuyachukulii mambo kwa uzito
Au sijui nisemeje hapa
Acha tu,asubuhi supu na Pepsi,dozi za malaria kila baada ya miezi miwili,mama ntilie maharage anatumia Panadol kupika yaive haraka,kiwanda Cha dawa feki kimekamatwa kinyerezi,chips zilizokaangwa kwa mafuta ya transfoma,mafuta ya kula ambayo ni zao la dizeli nk
 
Dah, kwa kweli hii ikifanikiwa, itakua ni hatua kubwa sana kwa fani ya matibabu. Wanadamu wanateseka sana na huu ugonjwa. Na miaka ijayo ugonjwa huu utakua tishio zaidi.

Funny observation;Afadhali, vumbuzi hii ita-balance vumbuzi mbaya kabisa ya AK47
 
1000006362.jpg

Chai
 
Acha tu,asubuhi supu na Pepsi,dozi za malaria kila baada ya miezi miwili,mama ntilie maharage anatumia Panadol kupika yaive haraka,kiwanda Cha dawa feki kimekamatwa kinyerezi,chips zilizokaangwa kwa mafuta ya transfoma,mafuta ya kula ambayo ni zao la dizeli nk
Umesahau dawa za kuhifadhia maiti,wanahifadhia nyama na fish😝
 
Back
Top Bottom