Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

Cancer ipi?
Umesoma shule ipi

Cancer by definition ni abnomal cell growth or multiplication

Hio singo ya kizazi cjui sikio sijui kòo ni kutegemeana n location ya eneo

Ni km mtu anabadilika uhusika tu akiwa stend abirua,akiwa hospital mgonjwa akiwa polisj mtuhumiwa akiwa gerezani mfungwa n.k

Halafu cancer mpaka leo ngumu kutibu sababu mpaka leo haijulikani chanzo cha cancer ni nn?

Vinavojulikana ni vichocheo km rays, chemical, n.k
 
Ni utapeli na kutafuta asikike, saratani zipo aina nyingi sana na hamna namna ya kuzikabili zote, pia ikumbukwe saratani ni disorder ya kwenye cells, sio mdudu.
Genetic error au mutation, sasa chanjo itafanyaje kazi...
Labda kama anaongea kuhusu treatment vaccine ya mtu aliyeathirika tayari.
Wewe endelea kunywa ethanol hapo kibera mambo ya medicine na wewe wapi na wapi? Usiingilie fani za watu bro.
 
Halafu cancer mpaka leo ngumu kutibu sababu mpaka leo haijulikani chanzo cha cancer ni nn?
Chanzo cha saratani kinajulukana, ni inflammation ya immune system (kinga ya asili ya mwili kutofanya kazi vizuri). Wote tunapata saratani kila siku ila immune system inaziharibu hizo seli zilizoharibika. Makampuni ya madawa hayataki ukweli huo ujulukane kwasababu yatafilisika. Kumbuka dhana ya uganga wa kimagharibi ni kuondoa dalili badala ya kuutibu ugonjwa.

Wakula tunavyokula ni zaidi ya virutubisho, vina genetic codes ambazo zina taarifa ya kiasi gani cha kemikali (hydrocarbons) zilizopo. Vyakula vingi vya kisasa vinakemikali za ziada (kutoka kwenye mbolea, mbegu za GMO n.k), hizi zinafanya vyakula kuwa na kimikali (chain za hydrocarbons) ambazo ni tofauti na zile za asilia.

Mwili unapojaribu kumenyenya vyakula hivi, unashindwa kuvunja vunja kemikali zote kwa kuwa hauna taarifa zake za ziada (zile zisizo za asili). Hizi kemikali zisizovunjika zinabaki zikizunguka mwilini, baadhi zinakuwa sumu na kuharibu mfumo wa kijikinga (immune system) na kusababisha saratani.
 
Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer.
---

MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian scientists were close to creating vaccines for cancer that could soon be available to patients.

Putin said in televised comments that "we have come very close to the creation of so-called cancer vaccines and immunomodulatory drugs of a new generation".

"I hope that soon they will be effectively used as methods of individual therapy," he added, speaking at a Moscow forum on future technologies.

Reuters
Hawa tusiwaamini sana, wanaweza zindua chanjo ya kuua ulimwengu, mimi sitachanja hiyo chanjo yao kwa kweli
 
Chanzo cha saratani kinajulukana, ni inflammation ya immune system (kinga ya asili ya mwili kutofanya kazi vizuri). Wote tunapata saratani kila siku ila immune system inaziharibu hizo seli zilizoharibika. Makampuni ya madawa hayataki ukweli huo ujulukane kwasababu yatafilisika. Kumbuka dhana ya uganga wa kimagharibi ni kuondoa dalili badala ya kuutibu ugonjwa.

Wakula tunavyokula ni zaidi ya virutubisho, vina genetic codes ambazo zina taarifa ya kiasi gani cha kemikali (hydrocarbons) zilizopo. Vyakula vingi vya kisasa vinakemikali za ziada (kutoka kwenye mbolea, mbegu za GMO n.k), hizi zinafanya vyakula kuwa na kimikali (chain za hydrocarbons) ambazo ni tofauti na zile za asilia.

Mwili unapojaribu kumenyenya vyakula hivi, unashindwa kuvunja vunja kemikali zote kwa kuwa hauna taarifa zake za ziada (zile zisizo za asili). Hizi kemikali zisizovunjika zinabaki zikizunguka mwilini, baadhi zinakuwa sumu na kuharibu mfumo wa kijikinga (immune system) na kusababisha saratani.
Ww unachanganya mada ujue
Kuvimba kwa kinga za mfumo wa mwili ni lymphadenophaty

Na lymphadenopathy ni sign ya eneo hilo huenda likawa na cancer kiufupi umeelezea dalili

hii ni body response reaction and not a cause

Screenshot_20240218-011254_Samsung Internet.png
 
Ww unachanganya mada ujue
Kuvimba kwa kinga za mfumo wa mwili ni lymphadenophaty

Na lymphadenopathy ni sign ya eneo hilo huenda likawa na cancer kiufupi umeelezea dalili

hii ni body response reaction and not a cause

View attachment 2907426
inflammation.png

Back
Top Bottom