Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

Kipindi hicho bado watu wanapambania umeme, vyoo, maji ya kunywa..
 
Unajua kiswahili cha inflammation? Mbna ndio unazidi kuharibu
Kiswahili kinaweza kuwa na maelezo finyu ya inflammation, ikitafsiri kama ni uvimbe, ila neno hilo linamaana pana zaidi ya uvimbe.
 
Anaenda kuharibu biashara za watu,,Big Phama lazima wachukie jamaa ndio wanaotengeneza magonjwa wauze madawa yao,,Putin awe makini wengi wameuliwa
 
Back
Top Bottom