Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

Unampangia mwenzio jinsi ya kuendesha familia yake? Putin ni nani kwani mpaka atake kutawala na nchi jirani,huo ujinga wa udikteta wake wa kuondoka madarakani kihuni kisha kurejea tena abaki nao huko huko kwa Warussi waliowageuza wajinga utadhani bila yeye Russia haitokuwepo.Zelensiky shikilia hapo hapo,hakuna kupangiwa na mtu,kila mtu ashinde mechi zake[emoji3]

Eti dikteta,, wakati iraq, Afghanistan, libya, Syria na yemen wanavamiwa ulikua upande wa nani kama sio marekani na NATO? leo kavamiwa kafiri mwenzio unabweka!!! Israel kila leo anauwa wapalestina unafurahia, Kuwa serious bwana, waarabu sio wanyama ni binadamu kama wewe. Tena kaa kimya, na usirudie kuwatetea diktetaz/magaidi wako.
 
Gharama za vyakula kupanda bei nchi kama Tanzania, Congo ni uzembe. Ni kweli sisi hatuna ardhi ya kutosha kuweza kulima Alizeti, na mazao mengine ya kuweza kukidhi matakwa yetu?

Tuliagiza ndege na tumeziendesha kwa hasara, tungewekeza kwenye kilimo kisingekwamua maisha? Mkapa aliwezaje? Maslahi ya viongozi inakuja inaharibu mpaka food security ndani ya Taifa.
Si lahisi kama unavyo fikiri maana hata nchi zenye pesa na zenyewe zinalia.
 
Yule mwendazake ni tulipata mtu mgonjwa WA akili kama nchi ingeamua kuchukua upande WA kilimo kama njia ya kuongeza pato la nchii Leo hii hiii nchi ingekuwaa muuzaji mkubwa WA chakula nje mtu anakimbulia kununua mindege ili apate sifa za kisiasa Kwa miaka mi5 alikuwa anatoa bajeti kidogo kwenye ununuzi WA chakula bila kurudisha kwenye uimarishaji WA miundombinu ya kilimo
Mwenda zake ameshaenda,,
Kwa Nini usifanye sasahiv
 
Hii inatokana na comedian Zelensky, kujing'ang'aniza kwenye makalio ya mmarekani.

Ukraine isingepata faida yoyote kwa kujiunga na NATO zaidi ya kutumika na Marekani kama sehemu ya majaribio ya silaha na kueneza chokochoko dhidi ya Urusi.
Hiyo ni sababu ya kijinga sana kwasababu saizi teknilojia ilivyo kuwa adui akitaka kukushambulia anakushambilia tu hata akiwa nchini kwake kwanza saizi watu wanamakombola yanayofika popote dunia. Pili Kuna ndege zisizo na
Rubani na zinaweza zisioinekane na nchi husika.
 
Eti dikteta,, wakati iraq, Afghanistan, libya, Syria na yemen wanavamiwa ulikua upande wa nani kama sio marekani na NATO? leo kavamiwa kafiri mwenzio unabweka!!! Israel kila leo anauwa wapalestina unafurahia, Kuwa serious bwana, waarabu sio wanyama ni binadamu kama wewe. Tena kaa kimya, na usirudie kuwatetea diktetaz/magaidi wako.
Kwa mcharazo huu nimekuogopa
 
Putini mkuu ndo haungi tena

Puttin anajua kuwa wamarekani na washirika wake sio watu wazuri, wamevamia nchi za kiislamu wameuwa civilians, na kupora rasilimali zao.

Soma huu ujumbe wa puttin ndio utamuelewa

Screenshot_20220406-105138_Instagram.jpg
Screenshot_20220406-105213_Instagram.jpg

Allah amuongoze aijue haqqi na kuifuata
 
Puttin anajua kuwa wamarekani na washirika wake sio watu wazuri, wamevamia nchi za kiislamu wameuwa civilians, na kupora rasilimali zao.

Soma huu ujumbe wa puttin ndio utamuelewa

View attachment 2177582View attachment 2177583

Allah amuongoze aijue haqqi na kuifuata
Ameongea maneno mazuri kama aliongea kweli lakini ule unyama wa kule Bucha Ukraine aliufanya je kweli anamaanisha ubinaadamu na haki za watu?
 
Leo sisi tunaagiza ngano za zaidi ya 80% kutoka nje tena ni Russia na Ukraine ambao sasa wapo kwenye mapigano, leo sisi tunaagiza sukari Brazil, na sukari yao ina bei nafuu kuliko ya hapa.

Sisi wa kununua mchele kilo 2,800? Unga 1,200? Nyanya moja 200? Mafuta ya kula lita sasa hivi ni 2,800 wakati tuna dodoma, singida, kigoma n.k Ni upuuzi mtupu. Yule msukuma wengi wanamuona shujaa lakini ni moja ya marais wabovu kutawala nchi hii, mtu anayependa kuabudiwa, sifa n.k

Tungewekeza zaidi ktk kilimo walau wananchi tusingekuwa na bughudha juu ya utawala, chakula bei ghali, bado ela pia ni ngumu mtaani.
Mkuu punguza jaziba..andika vizuri .kwani walikuzuia kulima mkuu
 
Eti dikteta,, wakati iraq, Afghanistan, libya, Syria na yemen wanavamiwa ulikua upande wa nani kama sio marekani na NATO? leo kavamiwa kafiri mwenzio unabweka!!! Israel kila leo anauwa wapalestina unafurahia, Kuwa serious bwana, waarabu sio wanyama ni binadamu kama wewe. Tena kaa kimya, na usirudie kuwatetea diktetaz/magaidi wako.
Kwa Israeli tuwe wapole kidogo naye amekuwa na ka operation ka muda kidogo katika kupambana na vikundi vya kigaidi. Lengo ni kuendelea kuteka maeneo yanayotumika kutenda jinai. Baada ya Jerusalem kuwa mji mkuu, kazi iliyobakia ni kusafisha Al Aqsa, na kujenga hapo hekalu.
 
Puttin anajua kuwa wamarekani na washirika wake sio watu wazuri, wamevamia nchi za kiislamu wameuwa civilians, na kupora rasilimali zao.

Soma huu ujumbe wa puttin ndio utamuelewa

View attachment 2177582View attachment 2177583

Allah amuongoze aijue haqqi na kuifuata
Hii hoja haina mashiko, ushoga umetamalaki kuanzia mikoa ya Pwani huko nako ni wazungu? Maeneo yote yaliyotawaliwa na waarabu ndiko ushoga umeota mizizi.
Hawa waturuki wa Yepi Merkez wamekuwa kero kubwa sana, wanasambaza ushoga kwa nguvu kubwa kuliko hata yanayotumia kwenye kujenga.
 
Back
Top Bottom