Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,

Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!

Afya yake imeshachokonolewa,

Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!

Muda utaongea!
Tupe time span ya kusubiri.
 
Biden ana afya tia maji kuliko Putin ila Marekani urais ni taasisi na wana succession plan inajulikana. Kwa mfano Putin akidondoka leo hii nani atakuwa Rais wa Urusi?

Akiondoka mifarakano ina possibility ya kutokea, na Westerns kwa kawaida huwa hawapendi rogue states kubadili uongozi ghafla maana hujui ajaye ni kichaa kiasi gani na migogoro ikitokea itaathiri usalama wa dunia maana wana weapons of mass destruction. Tangu karne ya 18 iishe ni Dmitry Medvedev pekee ndio kiongozi mkuu aliyestaafu Russia na ni kwa sababu alikuwa kibaraka wa Putin. Ukimuondoa yeye Russia tangu ikiwa empire Tsar Nicholas II auwawe na Bolsheviks mwaka 1917, USSR iwepo na viongozi wake hakuna aliyestaafu hata mmoja. Ikaja Russia akajiuzuru Boris Yeltsin akamuachia Putin na Putin technically akabadili katiba Waziri Mkuu akawa na nguvu kikatiba akamuachia Medvedev urais muhura ulipoisha Putin akagombea tena akawa rais kisha akabadili katiba akawa na nguvu kuliko Waziri Mkuu.

Kikao cha juzi hapa cha Putin na Shoigu kilionesha Putin hakai comfortably, ukitazama video waliyotoa TASS. Muda mrefu ameshikilia meza, kichwa kama kakishusha zaidi chini kwenye mabega, miguu inacheza kwa namna isiyo. Kuna namna
20220422_215217.jpg
 
Ahahahahaha! Wenzake wako huru kuzunguka hiku na huki yeye Putin hata kutoka ndani ya ofisi anaogopa! Hugo ndie atoe show. Kama mwamba mwabieni atumie nyuklia zake uone kama Russia haijabaki historia kama Messopotamia!
Mlisema hawezi kuivamia akavamia sanctions zimebuma. Putin sio kichaa atumie nuclear, america peke yao ndio vichaa waliowahi tumia nuclear.
Anawachapa kimya kimya kelele wanapga wao
 
Kuvamia tuu!/ hata hata Tanzania inaweza,

Shida ni kwamba utafika wapi?

Embu jiulize, lengo ilikuwa one week, Leo ni miezi zaidi ya miwili, huoni tayari ni felia kubwa kabisa mkuu
 
Lengo la wan wiik alisema nani!!?
Acha kifinyo kiendelee MKUU
 
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,

Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!

Afya yake imeshachokonolewa,

Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!

Muda utaongea!
Na wewe ndiyo mmoja wa majasusi mliotumwa "kumkmpromaizi"?
 
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,

Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!

Afya yake imeshachokonolewa,

Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!

Muda utaongea!
Naandika mkeka Biden mwaka huu hatoboi
 
Shida nikwamba ndugu yetu T14 Armata siku hizi umekua unaandika mambo ya ajabu sana sana ila naheshimu mawazo pia namaoni yako ila naomba tu nikwambie yakwamba
Dunia nzima sio US tu yaani dunia nzima iwe inaongozwa na Waziri mkuu Kansela Rais Mfalme ama vyovyote basi hio nyadhfa ujue nitaasisi tena taasisi nyeti kabisa
Shida yenu nikwamba munataka lazima mifumo yote yakiutawala ifanane na US yaani mnataka kuiaminisha dunia kanakwamba US ndio inamfumo imara kuliko taifa lolote Duniani
Hata pale UCHINA kabla ya Xi watu walikua wanasema kama haya ila hatimae UCHINA imekua imara kuliko ilivyokua kabla na maisha yanaendelea
Yaani kama yeltsin aliondoka na maisha yaliendelea Dimitri aliondoka na RUSSIA iliendelea na PUT IN ataondoka namaisha yataendelea
Tena kama mnadhania kwamba RUSSIA hana warithi mnakosea sana yaani taifa kubwa kama RUSSIA wasiandae mrithi wa PUT IN kanakwamba PUT IN ataishi milele amima
Hoja ya kuumwa kwa PUT IN watu wanaikuza ikiwemo wewe sababu tu munachuki na PUT IN na RUSSIA hakujawahi kua na maajabu wala jipya kwenye mtu kuumwa sababu ugonjwa unamkamata yeyote hata awe RAIS
Kama Tiizii mlikua ama walikua wanaamini kwamba magufuli alikua hayati Rais MAGUFULI alikua RAIS wahovyo ambae alibadilisha system yauendeshaji nchi na akafa akiwa madarakani na taifa halikuingia kwenye OMBWE hata theluthi itakuja kua taifa kubwa kama RUSSIA
Lakuomba tu MUUMBA atupe Uhai mpaka tuuone mwisho wa PUT IN kama kwakufa ama kwakung'atuka mwenyewe kwamapenzi yake ila musahau kabisa kuiona RUSSIA inaingia kwenye OMBWE kisa eti PUT IN kafa
Shida nikwamba mnaaminishwa mambo yaajabu kabisa na hao wamagharibi kiasi kwamba mnaona RUSSIA hawajaandaa mtu wakumrithi PUT IN tena bwana PUT IN hata asife atakavyoondoka kivyovyote vile basi taifa litakua imara zaidi yaalivyokua yeye
Taifa kama la RUSSIA lenye kupanga mipango yake miaka 50 mbeleni huko haliwezi kushughulishwa nakufariki ama kuondoka madarakani kwa PUT IN
Nakuhakikishia RUSSIA kuna taasisi imara zaidi yamnavyo aminishwa pia PUT IN kuumwa nijambo lakawaida sana sana sanaa ukijumlisha naumri alokua nao ndio kabisaaaaaaa
Kama tiiziii hamukuingia kwenye ombwe la siasa musahau kwa RUSSIA kama KOREA NORTH haikuingia kwenye ombwe la kisiasa musahau kwa RUSSIA
Nimalizie tu RUSSIA wanajitambua sio kama media zinavyowaaminisha nanyie mnaamini
 
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,

Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!

Afya yake imeshachokonolewa,

Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!

Muda utaongea!
Sote tutakufa so usiogope ...umemuona mwamba hapo chini pichani

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

.
Screenshot_20220424-160353.jpg
baada ya MWAMBA PUTIN kustaafu au kwenda mbinguni chuma hicho hapo ..juu

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Aisee ndio maana wazungu walisema Afrika lazima twende motoni, kwa staili hii ya unafiki unafiki, na tukifika huko lazima nikutafute nikutilie mamkaa nichochee firee. Yaani nilipobanikwa Mimi nafanya kuupunga nakuujaza kwako
Ncheeee yaaaani
Dahh nimecheka sana mkuu mpaka watu wananishangaa hapa .....

[emoji23][emoji23][emoji23]

( ( Aisee ndio maana wazungu walisema Afrika lazima twende motoni, kwa staili hii ya unafiki unafiki, na tukifika huko lazima nikutafute nikutilie mamkaa nichochee firee. Yaani nilipobanikwa Mimi nafanya kuupunga nakuujaza kwako
Ncheeee yaaaani ))
 
We jamaa acha ujuaji. Yaani video iwe ya namna hiyo halafu na bado clue yake ya habari waitoe. Yaani kwa akili yako unadhani wanaweza wakatoa video au picha ya kiongozi mkubwa bila kuichambua vya kutosha.
Wenzetu mnafikiriaga kwa kutumia nini jamani. Mmekuwa viazi kiasi kwamba Leo hao Weaterners wakieleza kuwa nyie nibwa siyo binadamu mtakubali. Aisee.
Biden ana afya tia maji kuliko Putin ila Marekani urais ni taasisi na wana succession plan inajulikana. Kwa mfano Putin akidondoka leo hii nani atakuwa Rais wa Urusi?

Akiondoka mifarakano ina possibility ya kutokea, na Westerns kwa kawaida huwa hawapendi rogue states kubadili uongozi ghafla maana hujui ajaye ni kichaa kiasi gani na migogoro ikitokea itaathiri usalama wa dunia maana wana weapons of mass destruction. Tangu karne ya 18 iishe ni Dmitry Medvedev pekee ndio kiongozi mkuu aliyestaafu Russia na ni kwa sababu alikuwa kibaraka wa Putin. Ukimuondoa yeye Russia tangu ikiwa empire Tsar Nicholas II auwawe na Bolsheviks mwaka 1917, USSR iwepo na viongozi wake hakuna aliyestaafu hata mmoja. Ikaja Russia akajiuzuru Boris Yeltsin akamuachia Putin na Putin technically akabadili katiba Waziri Mkuu akawa na nguvu kikatiba akamuachia Medvedev urais muhura ulipoisha Putin akagombea tena akawa rais kisha akabadili katiba akawa na nguvu kuliko Waziri Mkuu.

Kikao cha juzi hapa cha Putin na Shoigu kilionesha Putin hakai comfortably, ukitazama video waliyotoa TASS. Muda mrefu ameshikilia meza, kichwa kama kakishusha zaidi chini kwenye mabega, miguu inacheza kwa namna isiyo. Kuna namnaView attachment 2198931
 
Russia wapo mbele ya muda, wewe unaishi kwenye nchi ambayo ipo nyuma kimaendeleo dhidi ya taifa kama Russia kwa miaka 200, inakuwaje unajua mikakati ya mbeleni kabla yao.

Suala la Putin kufariki wao hawajui litatokea?
Hivi unacheza na nchi inamiliki sayari?

Russia unaichukuliaje?
 
Back
Top Bottom