Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

hahaaa mkuu umenichekesha sana
You should be horrified and not laughing. Hell is not a joke. It's a place of grief, isolation, torture, pain, mourning and the like.

Instead, pray that person get saved form such eternal damnation!
 
Shida nikwamba ndugu yetu T14 Armata siku hizi umekua unaandika mambo ya ajabu sana sana ila naheshimu mawazo pia namaoni yako ila naomba tu nikwambie yakwamba
Dunia nzima sio US tu yaani dunia nzima iwe inaongozwa na Waziri mkuu Kansela Rais Mfalme ama vyovyote basi hio nyadhfa ujue nitaasisi tena taasisi nyeti kabisa
Shida yenu nikwamba munataka lazima mifumo yote yakiutawala ifanane na US yaani mnataka kuiaminisha dunia kanakwamba US ndio inamfumo imara kuliko taifa lolote Duniani
Hata pale UCHINA kabla ya Xi watu walikua wanasema kama haya ila hatimae UCHINA imekua imara kuliko ilivyokua kabla na maisha yanaendelea
Yaani kama yeltsin aliondoka na maisha yaliendelea Dimitri aliondoka na RUSSIA iliendelea na PUT IN ataondoka namaisha yataendelea
Tena kama mnadhania kwamba RUSSIA hana warithi mnakosea sana yaani taifa kubwa kama RUSSIA wasiandae mrithi wa PUT IN kanakwamba PUT IN ataishi milele amima
Hoja ya kuumwa kwa PUT IN watu wanaikuza ikiwemo wewe sababu tu munachuki na PUT IN na RUSSIA hakujawahi kua na maajabu wala jipya kwenye mtu kuumwa sababu ugonjwa unamkamata yeyote hata awe RAIS
Kama Tiizii mlikua ama walikua wanaamini kwamba magufuli alikua hayati Rais MAGUFULI alikua RAIS wahovyo ambae alibadilisha system yauendeshaji nchi na akafa akiwa madarakani na taifa halikuingia kwenye OMBWE hata theluthi itakuja kua taifa kubwa kama RUSSIA
Lakuomba tu MUUMBA atupe Uhai mpaka tuuone mwisho wa PUT IN kama kwakufa ama kwakung'atuka mwenyewe kwamapenzi yake ila musahau kabisa kuiona RUSSIA inaingia kwenye OMBWE kisa eti PUT IN kafa
Shida nikwamba mnaaminishwa mambo yaajabu kabisa na hao wamagharibi kiasi kwamba mnaona RUSSIA hawajaandaa mtu wakumrithi PUT IN tena bwana PUT IN hata asife atakavyoondoka kivyovyote vile basi taifa litakua imara zaidi yaalivyokua yeye
Taifa kama la RUSSIA lenye kupanga mipango yake miaka 50 mbeleni huko haliwezi kushughulishwa nakufariki ama kuondoka madarakani kwa PUT IN
Nakuhakikishia RUSSIA kuna taasisi imara zaidi yamnavyo aminishwa pia PUT IN kuumwa nijambo lakawaida sana sana sanaa ukijumlisha naumri alokua nao ndio kabisaaaaaaa
Kama tiiziii hamukuingia kwenye ombwe la siasa musahau kwa RUSSIA kama KOREA NORTH haikuingia kwenye ombwe la kisiasa musahau kwa RUSSIA
Nimalizie tu RUSSIA wanajitambua sio kama media zinavyowaaminisha nanyie mnaamini
Umeandika mambo kibao ila kati ya hayo hujajibu swali la msingi. Nauliza hivi nani second in command kwa katiba ya Russia, ni Mishustin au ni Medvedev maana sijawahi elewa hadi leo.

Russia ni stable ila 1991 mwishoni mwa Soviet Union lilitokea jaribio la mapinduzi. Kama ungejiuliza kwa nini Russia haina cheo cha Makamu wa Rais ungejua kwa nini. Russia imepigana na waasi wa Chechnya mwaka 1994, ikarudia tena 1999 kukawepo na insurgency mpaka 2009. Mara ya mwisho UK, France, Australia, Canada, US, etc kupigana wenyewe kwa wenyewe au kujaribu military coup ni miaka mingi sana nyuma na wengine hawajawahi hata. Unaichukulia Russia ni very stable internally ila haijafika level zao.

Kwani wakati USSR inavunjika KGB haikuwepo? Au wakati Leonid Brezhnev anampindua Nikita Khrushchev KGB haikuwepo?
 
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,

Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!

Afya yake imeshachokonolewa,

Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!

Muda utaongea!
Weka picha za tofauti hiyo. Bila hivyo hatuamini Uzi huu.
 
Andiko lako limemaliza kila kitu, binafsi naamini hakuna Taifa ambalo liko macho juu ya maadui zake kama Urusi, na hakuna Taifa linalowanyima usingizi NATO/US kama Urusi.
na huu wakwako ndio ukweli MKUU
 
Umeandika mambo kibao ila kati ya hayo hujajibu swali la msingi. Nauliza hivi nani second in command kwa katiba ya Russia, ni Mishustin au ni Medvedev maana sijawahi elewa hadi leo.

Russia ni stable ila 1991 mwishoni mwa Soviet Union lilitokea jaribio la mapinduzi. Kama ungejiuliza kwa nini Russia haina cheo cha Makamu wa Rais ungejua kwa nini. Russia imepigana na waasi wa Chechnya mwaka 1994, ikarudia tena 1999 kukawepo na insurgency mpaka 2009. Mara ya mwisho UK, France, Australia, Canada, US, etc kupigana wenyewe kwa wenyewe au kujaribu military coup ni miaka mingi sana nyuma na wengine hawajawahi hata. Unaichukulia Russia ni very stable internally ila haijafika level zao.

Kwani wakati USSR inavunjika KGB haikuwepo? Au wakati Leonid Brezhnev anampindua Nikita Khrushchev KGB haikuwepo?
unaona sasa unavyoanza kujichanganya mwenyewe
kwanza unatakiwa unapoamua kuiongelea RUSSIA uiongelee yenyewe kama RUSSIA achana na USSR hio iliishapita nandio maana leo hii tunaiongelea RUSSIA
sasa ukija hapa kunambia masuala ya USSR wakati tunaiongelea RUSSIA nashindwa kukuelewa unataka tuongelee kipi USSR ishaenda nakurejelea tena nidhana tu ila sasa hv tunaiongelea RUSSIA
kuhusiana na hicho cheo hapo juu unachokiongelea ndio hapo juu nlipokwambia kama RUSSIA inataasisi imara ambazo zinazijitosheleza kutokumjua kwako huyo unaetaka kumjua hakumaanishi kwamba RUSSIA eti inataasisi zisizo imara yaani hilo swali lako lakutokuelewa basi linaonesha uimara wa RUSSIA kwenye hio angle yaani wewe huelewi ila wenye taasisi zao wanaelewa wanafanya nini
yaani RUSSIA hio mnayosema eti dhaifu haina taasisi imara inaundiwa tume namataifa mnayoyaona imara kukabiliana nayo KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
MKUU nayaheshimu sana mawazo yako ila hujaiona ama hakuna RUSSIA isio imara kwampaka sasa
kuhusiana na hao walopinduliwa amakuuliwa US kwenye taasisi imara wameuawa marais wangapi wakiwa madarakani
mpaka mwisho wanalalama kwamba RUSSIA kaingilia uchaguzi wao kawaekea RAIS anamtaka yeye
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Mlisema hawezi kuivamia akavamia sanctions zimebuma. Putin sio kichaa atumie nuclear, america peke yao ndio vichaa waliowahi tumia nuclear.
Anawachapa kimya kimya kelele wanapga wao
sasa yale maneno yake yalikuwa promo ya new hitsong au ?
 
unaona sasa unavyoanza kujichanganya mwenyewe
kwanza unatakiwa unapoamua kuiongelea RUSSIA uiongelee yenyewe kama RUSSIA achana na USSR hio iliishapita nandio maana leo hii tunaiongelea RUSSIA
sasa ukija hapa kunambia masuala ya USSR wakati tunaiongelea RUSSIA nashindwa kukuelewa unataka tuongelee kipi USSR ishaenda nakurejelea tena nidhana tu ila sasa hv tunaiongelea RUSSIA
kuhusiana na hicho cheo hapo juu unachokiongelea ndio hapo juu nlipokwambia kama RUSSIA inataasisi imara ambazo zinazijitosheleza kutokumjua kwako huyo unaetaka kumjua hakumaanishi kwamba RUSSIA eti inataasisi zisizo imara yaani hilo swali lako lakutokuelewa basi linaonesha uimara wa RUSSIA kwenye hio angle yaani wewe huelewi ila wenye taasisi zao wanaelewa wanafanya nini
yaani RUSSIA hio mnayosema eti dhaifu haina taasisi imara inaundiwa tume namataifa mnayoyaona imara kukabiliana nayo KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
MKUU nayaheshimu sana mawazo yako ila hujaiona ama hakuna RUSSIA isio imara kwampaka sasa
kuhusiana na hao walopinduliwa amakuuliwa US kwenye taasisi imara wameuawa marais wangapi wakiwa madarakani
mpaka mwisho wanalalama kwamba RUSSIA kaingilia uchaguzi wao kawaekea RAIS anamtaka yeye
Kwahiyo nchi kuundiwa tume ni dalili za uimara? Mnapenda sifa za kijinga, kina Somalia na Rwanda wanaundiwa tume wakati wamejaaa utapiamlo nyinyi mnaona kuundiwa tume ni ushujaa.

Huwezi itenga Russian Federation na USSR au Russian empire. Hatuwezi kuwa tunazungumzia nchi iliyoanzishwa 1991 hapo eti ndio unaita iko stable. Lazima turudi nyuma kuihusisha ilivyokuwa, huwezi taka tusizungumzie uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya Zanzibar kisa hizi nchi ziliungana kwahiyo tufute kila kitu tuanzie 1964.

Unajua Russia inaadhimisha siku ya VDV lini? August 2 kuadhimisha siku ya kuanzisha first paratrooper division mwaka 1930. Hapo Russia Federation hii ilikuwepo?
Victory Day parade huwa ni May 9 kuadhimisha ushindi dhidi ya Nazi Germany mwaka 1945. Huo mwaka 1945 hii Federation ilikuwepo? Then why nchi ina matukio yote na maadhimisho, na wimbo wa taifa, na silaha na mikataba ambavyo vyote ni legacy ya USSR alafu kirahisi tu unasema tuachane na USSR. Kwamba wewe ni mjanja na wao wajinga kuitambua.

Unataka tuzungumzie kuanzia 1991 eti nchi ni stable alafu unaiita superpower. Kina Sweden ambao Freedom of Speech na Press kwenye katiba yao waliweka mwaka 1766 si tutasema wametoka nje ya dunia
 
Nakule mariopol tumeanza kuchukua mji wetu, urusi hii aibu kaitafuta mwenyewe,

Kuhusu afya yake ni dhahiri watu washacheza nae kumbuka mwanzoniwa vita hii waziri mkuu wa Israel na ujumbe wake walitembelea Moscow

So kivyovyote vile polonium unafanya kazi vizuri
 
Back
Top Bottom