Tupe time span ya kusubiri.Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
Mlisema hawezi kuivamia akavamia sanctions zimebuma. Putin sio kichaa atumie nuclear, america peke yao ndio vichaa waliowahi tumia nuclear.Ahahahahaha! Wenzake wako huru kuzunguka hiku na huki yeye Putin hata kutoka ndani ya ofisi anaogopa! Hugo ndie atoe show. Kama mwamba mwabieni atumie nyuklia zake uone kama Russia haijabaki historia kama Messopotamia!
Kuvamia tuu!/ hata hata Tanzania inaweza,Mlisema hawezi kuivamia akavamia sanctions zimebuma. Putin sio kichaa atumie nuclear, america peke yao ndio vichaa waliowahi tumia nuclear.
Anawachapa kimya kimya kelele wanapga wao
Hata sio failure mbona US alienda itoa Taliban kaondoka kaiacha TalibanKuvamia tuu!/ hata hata Tanzania inaweza,
Shida ni kwamba utafika wapi?
Embu jiulize, lengo ilikuwa one week, Leo ni miezi zaidi ya miwili, huoni tayari ni felia kubwa kabisa mkuu
Lengo la wan wiik alisema nani!!?Kuvamia tuu!/ hata hata Tanzania inaweza,
Shida ni kwamba utafika wapi?
Embu jiulize, lengo ilikuwa one week, Leo ni miezi zaidi ya miwili, huoni tayari ni felia kubwa kabisa mkuu
Na wewe ndiyo mmoja wa majasusi mliotumwa "kumkmpromaizi"?Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
Naandika mkeka Biden mwaka huu hatoboiMajasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
Wanabadili maneno kila saa mara waseme kachapwa mara waseme amechapa ila imechukua muda sasa hivi hawaelewi washike lipi hadi wanaokotoleza post za FB wanaziita official news.Lengo la wan wiik alisema nani!!?
Acha kifinyo kiendelee MKUU
Sote tutakufa so usiogope ...umemuona mwamba hapo chini pichaniMajasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
WanatesekaWanabadili maneno kila saa mara waseme kachapya mara waseme amechapa ila imechukua muda sasa hivi hawaelewi washike lipi hadi wanaokotoleza post za FB wanaziita official news.
Dahh nimecheka sana mkuu mpaka watu wananishangaa hapa .....Aisee ndio maana wazungu walisema Afrika lazima twende motoni, kwa staili hii ya unafiki unafiki, na tukifika huko lazima nikutafute nikutilie mamkaa nichochee firee. Yaani nilipobanikwa Mimi nafanya kuupunga nakuujaza kwako
Ncheeee yaaaani
Biden ana afya tia maji kuliko Putin ila Marekani urais ni taasisi na wana succession plan inajulikana. Kwa mfano Putin akidondoka leo hii nani atakuwa Rais wa Urusi?
Akiondoka mifarakano ina possibility ya kutokea, na Westerns kwa kawaida huwa hawapendi rogue states kubadili uongozi ghafla maana hujui ajaye ni kichaa kiasi gani na migogoro ikitokea itaathiri usalama wa dunia maana wana weapons of mass destruction. Tangu karne ya 18 iishe ni Dmitry Medvedev pekee ndio kiongozi mkuu aliyestaafu Russia na ni kwa sababu alikuwa kibaraka wa Putin. Ukimuondoa yeye Russia tangu ikiwa empire Tsar Nicholas II auwawe na Bolsheviks mwaka 1917, USSR iwepo na viongozi wake hakuna aliyestaafu hata mmoja. Ikaja Russia akajiuzuru Boris Yeltsin akamuachia Putin na Putin technically akabadili katiba Waziri Mkuu akawa na nguvu kikatiba akamuachia Medvedev urais muhura ulipoisha Putin akagombea tena akawa rais kisha akabadili katiba akawa na nguvu kuliko Waziri Mkuu.
Kikao cha juzi hapa cha Putin na Shoigu kilionesha Putin hakai comfortably, ukitazama video waliyotoa TASS. Muda mrefu ameshikilia meza, kichwa kama kakishusha zaidi chini kwenye mabega, miguu inacheza kwa namna isiyo. Kuna namnaView attachment 2198931
Russia wapo mbele ya muda, wewe unaishi kwenye nchi ambayo ipo nyuma kimaendeleo dhidi ya taifa kama Russia kwa miaka 200, inakuwaje unajua mikakati ya mbeleni kabla yao.Biden ana afya tia maji kuliko Putin ila Marekani urais ni taasisi na wana succession plan inajulikana. Kwa mfano Putin akidondoka leo hii nani atakuwa Rais wa Urusi?