Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

hahaaa mkuu umenichekesha sana
You should be horrified and not laughing. Hell is not a joke. It's a place of grief, isolation, torture, pain, mourning and the like.

Instead, pray that person get saved form such eternal damnation!
 
Umeandika mambo kibao ila kati ya hayo hujajibu swali la msingi. Nauliza hivi nani second in command kwa katiba ya Russia, ni Mishustin au ni Medvedev maana sijawahi elewa hadi leo.

Russia ni stable ila 1991 mwishoni mwa Soviet Union lilitokea jaribio la mapinduzi. Kama ungejiuliza kwa nini Russia haina cheo cha Makamu wa Rais ungejua kwa nini. Russia imepigana na waasi wa Chechnya mwaka 1994, ikarudia tena 1999 kukawepo na insurgency mpaka 2009. Mara ya mwisho UK, France, Australia, Canada, US, etc kupigana wenyewe kwa wenyewe au kujaribu military coup ni miaka mingi sana nyuma na wengine hawajawahi hata. Unaichukulia Russia ni very stable internally ila haijafika level zao.

Kwani wakati USSR inavunjika KGB haikuwepo? Au wakati Leonid Brezhnev anampindua Nikita Khrushchev KGB haikuwepo?
 
Weka picha za tofauti hiyo. Bila hivyo hatuamini Uzi huu.
 
Andiko lako limemaliza kila kitu, binafsi naamini hakuna Taifa ambalo liko macho juu ya maadui zake kama Urusi, na hakuna Taifa linalowanyima usingizi NATO/US kama Urusi.
na huu wakwako ndio ukweli MKUU
 
unaona sasa unavyoanza kujichanganya mwenyewe
kwanza unatakiwa unapoamua kuiongelea RUSSIA uiongelee yenyewe kama RUSSIA achana na USSR hio iliishapita nandio maana leo hii tunaiongelea RUSSIA
sasa ukija hapa kunambia masuala ya USSR wakati tunaiongelea RUSSIA nashindwa kukuelewa unataka tuongelee kipi USSR ishaenda nakurejelea tena nidhana tu ila sasa hv tunaiongelea RUSSIA
kuhusiana na hicho cheo hapo juu unachokiongelea ndio hapo juu nlipokwambia kama RUSSIA inataasisi imara ambazo zinazijitosheleza kutokumjua kwako huyo unaetaka kumjua hakumaanishi kwamba RUSSIA eti inataasisi zisizo imara yaani hilo swali lako lakutokuelewa basi linaonesha uimara wa RUSSIA kwenye hio angle yaani wewe huelewi ila wenye taasisi zao wanaelewa wanafanya nini
yaani RUSSIA hio mnayosema eti dhaifu haina taasisi imara inaundiwa tume namataifa mnayoyaona imara kukabiliana nayo KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI
MKUU nayaheshimu sana mawazo yako ila hujaiona ama hakuna RUSSIA isio imara kwampaka sasa
kuhusiana na hao walopinduliwa amakuuliwa US kwenye taasisi imara wameuawa marais wangapi wakiwa madarakani
mpaka mwisho wanalalama kwamba RUSSIA kaingilia uchaguzi wao kawaekea RAIS anamtaka yeye
 
Reactions: RTI
Mlisema hawezi kuivamia akavamia sanctions zimebuma. Putin sio kichaa atumie nuclear, america peke yao ndio vichaa waliowahi tumia nuclear.
Anawachapa kimya kimya kelele wanapga wao
sasa yale maneno yake yalikuwa promo ya new hitsong au ?
 
Kwahiyo nchi kuundiwa tume ni dalili za uimara? Mnapenda sifa za kijinga, kina Somalia na Rwanda wanaundiwa tume wakati wamejaaa utapiamlo nyinyi mnaona kuundiwa tume ni ushujaa.

Huwezi itenga Russian Federation na USSR au Russian empire. Hatuwezi kuwa tunazungumzia nchi iliyoanzishwa 1991 hapo eti ndio unaita iko stable. Lazima turudi nyuma kuihusisha ilivyokuwa, huwezi taka tusizungumzie uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya Zanzibar kisa hizi nchi ziliungana kwahiyo tufute kila kitu tuanzie 1964.

Unajua Russia inaadhimisha siku ya VDV lini? August 2 kuadhimisha siku ya kuanzisha first paratrooper division mwaka 1930. Hapo Russia Federation hii ilikuwepo?
Victory Day parade huwa ni May 9 kuadhimisha ushindi dhidi ya Nazi Germany mwaka 1945. Huo mwaka 1945 hii Federation ilikuwepo? Then why nchi ina matukio yote na maadhimisho, na wimbo wa taifa, na silaha na mikataba ambavyo vyote ni legacy ya USSR alafu kirahisi tu unasema tuachane na USSR. Kwamba wewe ni mjanja na wao wajinga kuitambua.

Unataka tuzungumzie kuanzia 1991 eti nchi ni stable alafu unaiita superpower. Kina Sweden ambao Freedom of Speech na Press kwenye katiba yao waliweka mwaka 1766 si tutasema wametoka nje ya dunia
 
Nakule mariopol tumeanza kuchukua mji wetu, urusi hii aibu kaitafuta mwenyewe,

Kuhusu afya yake ni dhahiri watu washacheza nae kumbuka mwanzoniwa vita hii waziri mkuu wa Israel na ujumbe wake walitembelea Moscow

So kivyovyote vile polonium unafanya kazi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…