Putin wa miezi miwili iliyopita, si huyu wa leo!

Kwa hiyo ww hoja yako ni ipi?
Kuwa Putin akifa au akiondoka madarakani Urusi itasambaratika au itaingia kwenye machafuko? Ebu weka mambo wazi unacho taka kumaanisha maana kuna kitu una taka kukimaanisha ila unazunguka mkuu.
 
Daaaah!
Hakika Tanzania tuliwahi kuwa namba moja kwa upelelezi duniani!

wa kupuliza
 
Shoga limekwisha kwanyuliwa tayari!limekuja kuhema huku?
Jemmed
 
Huyajui vizuri majasusi ya Kremlin
 
Russia hana uwezo wa kufanya ujasusi dunia nzima. Hana pesa. CIA wana assets dunia nzima, both human and technical. Sio sawa kuwafananisha na agency ya Russia.
FSB imeshindwa mtoa Zelensky
 
Kama Lowassa vile, kuna Muda amekosekana hadharani Kwa Masaa 72 mpaka ikachongwa mchongo kwamba yuko busy sana
 
Huyo Putin unaemzungumzia atakuwa lile shetani la Burigi lakini Putin wa Urusi hatishwi wala hawezi kutishwa na taasisi yoyote ya kijasusi hapa duniani
 
Huyo Putin unaemzungumzia atakuwa lile shetani la Burigi lakini Putin wa Urusi hatishwi wala hawezi kutishwa na taasisi yoyote ya kijasusi hapa duniani
Mbona inakuuma sana mkuu!

Yuko hivyo babaako sasa!
 
Kuhusiana na super power mimi nimenukuu walosema hayo niwatu ambao walikaa wakatafiti wakaja na haya majibu ukibisha uje na fact
Unaifananisha RUSSIA iliotolewa G7 kwa ghilba na hizo failled state
Nchi ambayo imeanzishwa 1991 huwezi kuizungumzia wakat ndio hio unaizungumzia au kuna nchi leo inaitwa USSR!!?
Hayo yakuazimisha yamebakia kama historia na yataendelea kubakia hvyo wala hayana uhalisia wowote ule
Kutumia wimbo legacy ama chochote kilichopo wakati huo hakiondoi ukweli kwamba hakuna USSR yaani utake usitake USSR haipo
hayo mengine yamebakia kama historia ukiiongelea USSR utachelewa sana MKUU sababu haipo tena na huu ndio ukweli
Ishu yakimsingi hapa tusiihame yauimara wa taasisi ya urais wa PUT IN na RUSSIA kwaujumla wake
 
Reactions: RTI
Kwa hiyo ww hoja yako ni ipi?
Kuwa Putin akifa au akiondoka madarakani Urusi itasambaratika au itaingia kwenye machafuko? Ebu weka mambo wazi unacho taka kumaanisha maana kuna kitu una taka kukimaanisha ila unazunguka mkuu.
Nashkuru kwakumuelewa naona kazunguka saaaana mpaka anatoka nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…