Putin yupo kwenye mashine 'imara lakini hali mbaya,' Madaktari hawana imani sana baada ya kupata mshtuko wa moyo

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Yap Lila inafanya Kazi... Kwa ambao hamjuii Huo no mtamho wa CIA umefungwa huko Antarktika no hatari sana wana uwezo wa kuchagua wa kumzimaa... Kama unabisha kamulize pombe 🏃🏾🏃🏾🏃🏾
 
Chanzo kikuu kilichotoa taarifa hizi ni Telegram channel ambayo credibility yake huwa kubwa ila si ajabu imelishwa taarifa na FSB. Yawezekana ni kweli au wanalisha propaganda kuzubaisha OSINT channels au wanapima reaction itakuaje. Ila ni uhakika kwamba afya ya Putin sio imara sana.

Sijaamua kuamini kama ni kweli. Ila kinachotegemewa endapo Putin atafariki ni taarifa rasmi kucheleweshwa kwa muda mpaka inner circle wajipange ukizingatia wako na vita na Urusi yenyewe haiko stable kisiasa imeshikiliwa na mkono wa chuma na umakini mkubwa.
 
Mimi sijaitowa telegram. Chanzo: 'Plugged Into Machines': Vladimir Putin in 'Stable but Serious Condition' and Doctors Are 'Not Optimistic' After Alleged Heart Attack, Sources Claim
 
Back
Top Bottom