FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.Soma hapo kwenye chanzo chako kinasema "source claim". Hata wao wamenukuu ila sababu ni media uchwara ndio maana haijasema imenukuu wapi, au haina uhakika na credibility ya waliponukuu.
Source ya kwanza kabisa ni Telegram channel fulani masaa zaidi ya 7 yaliyopita.
Siku hizi uongo na propaganda nyingi kwenye mtandao.