Huyu anachukiwa kwa historia yake chafu kabisa. Kwa nchi zinazozingatia haki, hakustahili mpaka sasa awe anazurula uraiani. Kama angekuwa na bahati sana, angekuwa anatumikia kifungo cha maisha.Huyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe.
Yaelekea ana 'kinga maalum' toka mamlaka ya uteuzi.Huo utetezi wa Bwana Bashite ni UTETEZI wa hovyo labisa..sidhani kama ATAPONA this time..
Watu wivu unawasumbua.Huyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hao wanawake ambayo UWT ,LHRC wanawatetea kwamba wasidhalilishwe ,wanafia vituo vya afya wakati wanajifungua kwa kukosa huduma madawa na vifaa kwa sababu ya wanawake hao hao majizi yanaoiba kodi za wananchi walalahoi.ebu acheni kutetea ujinga.
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.
Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.
Puto lazima litobolewe
Mbona haihusiani na tuhuma za Makonda kudhalilisha watumishi wa umma?Ha
hao wanawake ambayo UWT ,LHRC wanawatetea kwamba wasidhalilishwe ,wanafia vituo vya afya wakati wanajifungua kwa kukosa huduma madawa na vifaa kwa sababu ya wanawake hao hao majizi yanaoiba kodi za wananchi walalahoi.ebu acheni kutetea ujinga.
watumishi wa umma wazembe na majizi lazima watampia kura za hapana.sisi wa private sectors tunaokamliwa kodi kama ng'ombe wa kisasa tutampigia kura za ndiyoKama tungekuwa na uwazi tungeendesha Polls kuangalia Rais anakubalika kwa asilimia ngapi. Nina uhakika kwa kitendo cha Rais kuendelea kumkumbatia huyu bwana, Ukubalikaji wa Rais kwa wananchi hasa watumishi wa umma unaporomoka sana.
Mengine unaachia fate kiongozi, aliepewa kapewa tu na wapiga majungu awakosekani.Tia neno mkuu
Ova
Katiba sio suluhisho, suluhisho ni kuwa na system itakayowezesha uwajibikaji yakinifu kwenye kila sekta za umma.Anachokifanya Makonda na mkakifurahia kinatokana na Taifa letu kuwa na taasisi dhaifu ambazo haziwezi kutimiza wajibu wao na majukumu yao kwa sababu ya kumuogopa Mungu wa Ikulu. Taifa likibaki na Mungu wa Mbinguni kwa kuwa na Katiba Mpya, watu kama Makonda watabaki hawana kazi ya kuwafurahisha NYINYI kwa sababu katiba hiyo itasaidia kuwa na Taasisi imara zinazofanya kazi bila kuingiliwa na Mungu wa Ikulu kwa sababu hatakuwepo.
Mbona hamsemi juu ya familia zinazidhulumiwa haki. Au ayafanyayo ni ya hivyo kuliko kupokea nyumba za wajaneMbona haihusiani na tuhuma za Makonda kudhalilisha watumishi wa umma?
Mambo mengine Paul yuko sawa kabisa anayofanya.....Mengine unaachia fate kiongozi, aliepewa kapewa tu na wapiga majungu awakosekani.
Thibitisha. Kama huwezi kuthibitisha basi ww ndo uko hivo.UWT ni umoja wa wahuni na wadangaji na hao LHRC ni kikundi cha kutetea waovu na wabadhirifu kwenye ukweli huwaoni kusimama ingefutwa tu taasisi ya kihuni kabisa!
kwani pale mtumishi wa umma alidhalilishwa wapi? hivi uliona alivyokuwa anamjibu mkuu wa mkoa huku akifungua kifua kwa kumuonyesha matiti?Mbona haihusiani na tuhuma za Makonda kudhalilisha watumishi wa umma?