Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

Huyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anachukiwa kwa historia yake chafu kabisa. Kwa nchi zinazozingatia haki, hakustahili mpaka sasa awe anazurula uraiani. Kama angekuwa na bahati sana, angekuwa anatumikia kifungo cha maisha.

Watu wa Arusha wamedhalilishwa sana kuletewa muuaji kuwa kiongozi wao.

Yaani hadi mataifa ya nje yanajua kuwa jitu hili ni haramia, liuaji!! Sisi tunaona anafaa kuwa kiongozi!!
 
Mods wana kazi ya kuunganisha tu mada na Makonda toka Ijumaa.

Hakuna jipya linaloletwa ni mayowe yaleyale.
 
Lakini yeye mwenyewe si alishawaambia hata kama atakuwa RC kwa siku moja inatosha,kamchenini live huko mikutanoni kazi uoga na kulialia mitandaoni tu.
 
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe.

SERIKALI ZA AFRICA KAMA SIYO ZA DUNIA NI ZA KINJINGA KABISA .UNAWEKA MISINGI MIBOVU ETI MTUMISHI WA UMMA MWIZI NA MZEMBE ASISEMWE HADHARANI KWA SABABU ITAKUWA NI KUMDHARILISHA ? UNAKULA KODI ZA MASKINI THEN UNALINDWA NA MFUMO MBOVU ILI USISEMWE.UNAIBA KODI ZA WALALAHOI THEN MFUMO UNAKUTAKA UHAMISHWE KITUO ILI UENDELEE KUIBA HUKO UNAKOPELEKWA. HIVI HII IMMUNITY YA BKIJINGA ILITUNGWA NA NANI?
 
Kama tungekuwa na uwazi tungeendesha Polls kuangalia Rais anakubalika kwa asilimia ngapi. Nina uhakika kwa kitendo cha Rais kuendelea kumkumbatia huyu bwana, Ukubalikaji wa Rais kwa wananchi hasa watumishi wa umma unaporomoka sana.
 
Ha

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!

Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda anatukana watu kwa vile anajua alisha mtetea mama Samia. Huo ni ujinga na umbumbumbu wa kisiasa.

Mama Samia anaheshimiwa sana, lakini heshima yake inashuka kwa sababu ya watu kama Makonda.

Puto lazima litobolewe
hao wanawake ambayo UWT ,LHRC wanawatetea kwamba wasidhalilishwe ,wanafia vituo vya afya wakati wanajifungua kwa kukosa huduma madawa na vifaa kwa sababu ya wanawake hao hao majizi yanaoiba kodi za wananchi walalahoi.ebu acheni kutetea ujinga.
 
Mbona haihusiani na tuhuma za Makonda kudhalilisha watumishi wa umma?
 
Kama tungekuwa na uwazi tungeendesha Polls kuangalia Rais anakubalika kwa asilimia ngapi. Nina uhakika kwa kitendo cha Rais kuendelea kumkumbatia huyu bwana, Ukubalikaji wa Rais kwa wananchi hasa watumishi wa umma unaporomoka sana.
watumishi wa umma wazembe na majizi lazima watampia kura za hapana.sisi wa private sectors tunaokamliwa kodi kama ng'ombe wa kisasa tutampigia kura za ndiyo
 
MAKONDA PIGA KAZII
Screenshot_20231102_120808_Remix.png
 
Anachokifanya Makonda na mkakifurahia kinatokana na Taifa letu kuwa na taasisi dhaifu ambazo haziwezi kutimiza wajibu wao na majukumu yao kwa sababu ya kumuogopa Mungu wa Ikulu. Taifa likibaki na Mungu wa Mbinguni kwa kuwa na Katiba Mpya, watu kama Makonda watabaki hawana kazi ya kuwafurahisha NYINYI kwa sababu katiba hiyo itasaidia kuwa na Taasisi imara zinazofanya kazi bila kuingiliwa na Mungu wa Ikulu kwa sababu hatakuwepo.
Katiba sio suluhisho, suluhisho ni kuwa na system itakayowezesha uwajibikaji yakinifu kwenye kila sekta za umma.
Tukiendelea na hawa machawa hata katiba mpya haitasaidia.

Huoni ubovu ulioko mahakamani watu wanapindisha sheria watakavyo?
 
UWT ni umoja wa wahuni na wadangaji na hao LHRC ni kikundi cha kutetea waovu na wabadhirifu kwenye ukweli huwaoni kusimama ingefutwa tu taasisi ya kihuni kabisa!
Thibitisha. Kama huwezi kuthibitisha basi ww ndo uko hivo.
 
Back
Top Bottom