Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Huyu anachukiwa kwa historia yake chafu kabisa. Kwa nchi zinazozingatia haki, hakustahili mpaka sasa awe anazurula uraiani. Kama angekuwa na bahati sana, angekuwa anatumikia kifungo cha maisha.Huyu jamaa anachukiwa sna aliwafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa Arusha wamedhalilishwa sana kuletewa muuaji kuwa kiongozi wao.
Yaani hadi mataifa ya nje yanajua kuwa jitu hili ni haramia, liuaji!! Sisi tunaona anafaa kuwa kiongozi!!