Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

Hao wateuliwa wawe wanapitishwa chuo ili wajue nini waseme na nini waache.
Enzi za zamani kulikuwa na kile chuo cha utumiishi nadhani siku hizi serikali inaajiri tu bila ya watu hata kupewa a b c za utumishi serikalini.
 
Umeona ile clip ya yule mkandarasi wa Longido lakini? Hivi kweli mtu kama yule anatakiwa aende wapi akapatiwe haki yake jamani?

Hata kama Makonda ana ubaya gani lakini hayo anayoibua kwa kweli yanasikitisha sana
 
Wajinga ndiyo hufikiri hivi siku zote. Wewe ni mjinga. Badala ya kujenga nchi unapiga vita viongozi makini
 
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Du....CV kali!
 
Acha wivu wewe
 
Niwaalifu tu na wararushwa ndio mnao mchukia makonda
 
Mgambo mnaruka na kukanyagana!!!
 
Sa
Sa
Sahau
 
Kwani kusemwa ndio kutatua tatizo?.Watasemwa kila siku lakini haiwezi kuleta tija yoyote kama hatutashughulikia tatizo kwenye mizizi ili nchi nzima ipone.Tofauti na hapo ni porojo tu za kusutana baada ya miezi 3 kila kitu kimeshahaulika.mambo yanarudi kama kawaida.
 
Ngoma ikivuma sana , inapasuka!

Hivi kufukuzisha watu wanafanya manispaa, wamesota wanakaribia kustaafu na kuwaharibia mafao yao , wacha nikae kimya!
 
UWT ni umoja wa wahuni na wadangaji na hao LHRC ni kikundi cha kutetea waovu na wabadhirifu kwenye ukweli huwaoni kusimama ingefutwa tu taasisi ya kihuni kabisa!
Hao LHRC mbona hawakwenda Iraq na Libya kuwatetea wale marais waliouawa kinyama na wafadhili wao hao wamarekani??
 
Kwani yeye Makonda siyo wa jinsia moja? Mbona marehemu wa Urambo six alimtatua marinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…