bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Enzi za zamani kulikuwa na kile chuo cha utumiishi nadhani siku hizi serikali inaajiri tu bila ya watu hata kupewa a b c za utumishi serikalini.Hao wateuliwa wawe wanapitishwa chuo ili wajue nini waseme na nini waache.
