Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

Lazizi wangu ephen waridi wa ❤️ wangu nakupendaa Sanaa.Achana na huyo tapeli na wala usimsikilize hata kidogo. .
Blaza punguza ubahili mrushie mtoto mgao, wala hana shida sana na hela yako anataka uonyeshe commitment yako tu, wewe vipi wewe?
 
Blaza punguza ubahili mrushie mtoto mgao, wala hana shida sana na hela yako anataka uonyeshe commitment yako tu, wewe vipi wewe?
wewe embu acha uchonganishi wako hapa wewe.umeona njia zote umeshindwa kututenganisha sasa umeanza umbea ,uzushi na upashikuna wako hapa. Hata hivyo huwezi pia kututenganisha wala kutuchonganisha.
 
wewe embu acha uchonganishi wako hapa wewe.umeona njia zote umeshindwa kututenganisha sasa umeanza umbea ,uzushi na upashikuna wako hapa. Hata hivyo huwezi pia kututenganisha wala kutuchonganisha.
Mimi nakushauri vizuri halafu unaniona mchonganishi? Mrushie mtoto japo GB 5 wacha unywanywa huo.
 
Uko vizuri sana Lucas
 
Unahitaji msaada wa kitabibu wa haraka sana kuliko hawa wanaokujaza kuwa wanabubujikwa na machozi.

Kuna msemo mmoja wanatumia vijana wa kileo " Kichaa anachekesha akiwa hatokei ukoo wenu".
Nimekusamehe bure kabisa.nenda na amani ya Bwana.
 
Ni mwanachama wa kawaida tena mwenye uwezo mdogo wa kufikiri
 
Hata mm niliyesoma Afghanistan naelewa kuwa hapa unalia njaa. Mfumo hauko hivyo. Haukupi cheo mpaka uwe sehemu ya mfumo pamoja na network. Wewe yaonyesha huna network. Be care, utasota sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…