ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Wacha kujipa umuhimu.Hakuna nilipojipa umuhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kujipa umuhimu.Hakuna nilipojipa umuhimu.
Blaza punguza ubahili mrushie mtoto mgao, wala hana shida sana na hela yako anataka uonyeshe commitment yako tu, wewe vipi wewe?Lazizi wangu ephen waridi wa ❤️ wangu nakupendaa Sanaa.Achana na huyo tapeli na wala usimsikilize hata kidogo. .
wewe embu acha uchonganishi wako hapa wewe.umeona njia zote umeshindwa kututenganisha sasa umeanza umbea ,uzushi na upashikuna wako hapa. Hata hivyo huwezi pia kututenganisha wala kutuchonganisha.Blaza punguza ubahili mrushie mtoto mgao, wala hana shida sana na hela yako anataka uonyeshe commitment yako tu, wewe vipi wewe?
Mimi nakushauri vizuri halafu unaniona mchonganishi? Mrushie mtoto japo GB 5 wacha unywanywa huo.wewe embu acha uchonganishi wako hapa wewe.umeona njia zote umeshindwa kututenganisha sasa umeanza umbea ,uzushi na upashikuna wako hapa. Hata hivyo huwezi pia kututenganisha wala kutuchonganisha.
I know my Message has been sent and delivered.Asante Nashukuru kwa maoni yako.
Uko vizuri sana LucasNdugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM.
Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wa aina yoyote ile hata chembe.nilijaribu kutoa ripoti kuwa mada na andiko lile lilikuwa la uongo na kuomba mada ile ifutwe lakini kwa bahati mbaya bila kujuwa sababu zake andiko halikufutwa.
Najuwa lengo la andiko lile lilikuwa ni kutaka kujenga taswira na kupandikiza mawazo na hisia Mbaya kwa wana jukwaa kuonekana kuwa naandika hapa jukwaani kwa kuwa nalipwa au nipo hapa jukwaani kwa kazi maalumu inayotokana na malipo,jambo ambalo siyo la kweli na halina ukweli wa aina yoyote ile.
Niseme tu ya kuwa mimi silipwi na mtu wala chama kuwepo hapa jukwaani .sipo katika malipo ya aina yoyote ile na wala sijawahi kulipwa kufanya kazi ya kuandika hapa jukwaani. Nafanya nifanyayo kwa hiyari yangu,kwa uzalendo wangu kwa Taifa langu,upendo na mapenzi makubwa kwa chama changu cha CCM, imani yangu kubwa na isiyopimika katika mzani wa aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na serikali yake.
Naandika kwa gharama zangu za muda,akili na pesa zangu mwenyewe.nanunua vocha kwa pesa zangu mwenyewe zinazotokana na jasho langu Mwenyewe. Kazi nayo fanya ni kazi ya kujitolea bure kabisa. Pamoja na matusi yote makubwa kwa madogo nayo tukanwa ,kejeli,kudhalilishwa na kutweza utu wangu bado naendelea kufanya kazi hii kwa kujitolea na kwa hiyari yangu Pasipo kuhitaji malipo zaidi ya kuusema ukweli tu.
Siwezi nikakaa kimya nikiona RAIS wangu anatukanwa au chama changu cha CCM kinashambuliwa au serikali yangu inachafuliwa au Taifa langu lina chafuliwa. Nipo tayari kutetea na hata ikibidi kusimama mwenyewe katika uwanja wa vita ya hoja bila matusi wala lugha ya udhalilishaji kwa wapinzani wangu.
Ndio Maana pamoja na kutukanwa matusi yote ,huwezi ukaniona nikimtukana mtu.
mimi najikita katika hoja na siyo matusi.ningekuwa najibu matusi basi ningekuwa nilishafungiwa humu jukwaani na kuwapa ushindi maadui zangu wanaotamani nipotee hata leo hii. Jambo ambalo limeshindikana kwa sababu nimeweza kuruka viunzi na mitego yao yote. Nimeishinda hofu na uoga na nimeishinda mitego ya maadui zangu. Nipo imara na tayari muda wote kuendelea na mapambano . Sirudi nyuma Zaidi ya kusonga mbele.
Wana CCM tusimame imara kuisemea na kuitetea serikali yetu na chama chetu.tutembee vifua mbele kwa sababu Rais wetu amefanya kazi kubwa sana zinazotupa nguvu ya kutembea vifua mbele na kueleza makubwa yaliyofanywa na serikali yetu na chama chetu.hakuna kukaa kinyonge wala kuogopa. Njooni uwanjani kishujaa ,ushindi upo upande wetu na watanzania wapo upande wetu.
Sisi ndio tumaini la watanzania,sisi ndio nuru ya Taifa hili,sisi ndio nyota ya matumaini.Tusimame pamoja kuwaunganisha watanzania na kuwaonyesha njia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unahitaji msaada wa kitabibu wa haraka sana kuliko hawa wanaokujaza kuwa wanabubujikwa na machozi.Wewe nilishakupuuza siku nyingi.
Nimekusamehe bure kabisa.nenda na amani ya Bwana.Unahitaji msaada wa kitabibu wa haraka sana kuliko hawa wanaokujaza kuwa wanabubujikwa na machozi.
Kuna msemo mmoja wanatumia vijana wa kileo " Kichaa anachekesha akiwa hatokei ukoo wenu".
Kwa hivyo bwana Lucas Mwashambwa anakunja 200k kwa mwezi. Sio mbaya kwa MTU wa kijijini. Nyumba bure, maji bure, chakula bure, totoz bure.Kila Ijumaa wanarushiwa 50k
Ni mwanachama wa kawaida tena mwenye uwezo mdogo wa kufikiriNdugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM.
Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wa aina yoyote ile hata chembe.nilijaribu kutoa ripoti kuwa mada na andiko lile lilikuwa la uongo na kuomba mada ile ifutwe lakini kwa bahati mbaya bila kujuwa sababu zake andiko halikufutwa.
Najuwa lengo la andiko lile lilikuwa ni kutaka kujenga taswira na kupandikiza mawazo na hisia Mbaya kwa wana jukwaa kuonekana kuwa naandika hapa jukwaani kwa kuwa nalipwa au nipo hapa jukwaani kwa kazi maalumu inayotokana na malipo,jambo ambalo siyo la kweli na halina ukweli wa aina yoyote ile.
Niseme tu ya kuwa mimi silipwi na mtu wala chama kuwepo hapa jukwaani .sipo katika malipo ya aina yoyote ile na wala sijawahi kulipwa kufanya kazi ya kuandika hapa jukwaani. Nafanya nifanyayo kwa hiyari yangu,kwa uzalendo wangu kwa Taifa langu,upendo na mapenzi makubwa kwa chama changu cha CCM, imani yangu kubwa na isiyopimika katika mzani wa aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na serikali yake.
Naandika kwa gharama zangu za muda,akili na pesa zangu mwenyewe.nanunua vocha kwa pesa zangu mwenyewe zinazotokana na jasho langu Mwenyewe. Kazi nayo fanya ni kazi ya kujitolea bure kabisa. Pamoja na matusi yote makubwa kwa madogo nayo tukanwa ,kejeli,kudhalilishwa na kutweza utu wangu bado naendelea kufanya kazi hii kwa kujitolea na kwa hiyari yangu Pasipo kuhitaji malipo zaidi ya kuusema ukweli tu.
Siwezi nikakaa kimya nikiona RAIS wangu anatukanwa au chama changu cha CCM kinashambuliwa au serikali yangu inachafuliwa au Taifa langu lina chafuliwa. Nipo tayari kutetea na hata ikibidi kusimama mwenyewe katika uwanja wa vita ya hoja bila matusi wala lugha ya udhalilishaji kwa wapinzani wangu.
Ndio Maana pamoja na kutukanwa matusi yote ,huwezi ukaniona nikimtukana mtu.
mimi najikita katika hoja na siyo matusi.ningekuwa najibu matusi basi ningekuwa nilishafungiwa humu jukwaani na kuwapa ushindi maadui zangu wanaotamani nipotee hata leo hii. Jambo ambalo limeshindikana kwa sababu nimeweza kuruka viunzi na mitego yao yote. Nimeishinda hofu na uoga na nimeishinda mitego ya maadui zangu. Nipo imara na tayari muda wote kuendelea na mapambano . Sirudi nyuma Zaidi ya kusonga mbele.
Wana CCM tusimame imara kuisemea na kuitetea serikali yetu na chama chetu.tutembee vifua mbele kwa sababu Rais wetu amefanya kazi kubwa sana zinazotupa nguvu ya kutembea vifua mbele na kueleza makubwa yaliyofanywa na serikali yetu na chama chetu.hakuna kukaa kinyonge wala kuogopa. Njooni uwanjani kishujaa ,ushindi upo upande wetu na watanzania wapo upande wetu.
Sisi ndio tumaini la watanzania,sisi ndio nuru ya Taifa hili,sisi ndio nyota ya matumaini.Tusimame pamoja kuwaunganisha watanzania na kuwaonyesha njia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzaniasawa chawa sugu
Sawa nashukuru ubarikiwe SanaaaaNi mwanachama wa kawaida tena mwenye uwezo mdogo wa kufikiri
Mkuu hii nchi imejaa wajinga wengi sana, kwa upuuzi ambao jamaa Huwa anaandika eti kuna watu wanamfuatiliaDuuh, hivi kumbe kuna watu huwa wanakuzingatia??!!!
Nimeshasema kuwa Mimi silipwi hapa.kama kuna ushahidi wa hayo usemayo basi weka ushahidi hapa watu wauone.Kwa hivyo bwana Lucas Mwashambwa anakunja 200k kwa mwezi. Sio mbaya kwa MTU wa kijijini. Nyumba bure, maji bure, chakula bure, totoz bure.
Bora useme weweMimi nakushauri vizuri halafu unaniona mchonganishi? Mrushie mtoto japo GB 5 wacha unywanywa huo.
Hata mm niliyesoma Afghanistan naelewa kuwa hapa unalia njaa. Mfumo hauko hivyo. Haukupi cheo mpaka uwe sehemu ya mfumo pamoja na network. Wewe yaonyesha huna network. Be care, utasota sana.Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM.
Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wa aina yoyote ile hata chembe.nilijaribu kutoa ripoti kuwa mada na andiko lile lilikuwa la uongo na kuomba mada ile ifutwe lakini kwa bahati mbaya bila kujuwa sababu zake andiko halikufutwa.
Najuwa lengo la andiko lile lilikuwa ni kutaka kujenga taswira na kupandikiza mawazo na hisia Mbaya kwa wana jukwaa kuonekana kuwa naandika hapa jukwaani kwa kuwa nalipwa au nipo hapa jukwaani kwa kazi maalumu inayotokana na malipo,jambo ambalo siyo la kweli na halina ukweli wa aina yoyote ile.
Niseme tu ya kuwa mimi silipwi na mtu wala chama kuwepo hapa jukwaani .sipo katika malipo ya aina yoyote ile na wala sijawahi kulipwa kufanya kazi ya kuandika hapa jukwaani. Nafanya nifanyayo kwa hiyari yangu,kwa uzalendo wangu kwa Taifa langu,upendo na mapenzi makubwa kwa chama changu cha CCM, imani yangu kubwa na isiyopimika katika mzani wa aina yoyote ile kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na serikali yake.
Naandika kwa gharama zangu za muda,akili na pesa zangu mwenyewe.nanunua vocha kwa pesa zangu mwenyewe zinazotokana na jasho langu Mwenyewe. Kazi nayo fanya ni kazi ya kujitolea bure kabisa. Pamoja na matusi yote makubwa kwa madogo nayo tukanwa ,kejeli,kudhalilishwa na kutweza utu wangu bado naendelea kufanya kazi hii kwa kujitolea na kwa hiyari yangu Pasipo kuhitaji malipo zaidi ya kuusema ukweli tu.
Siwezi nikakaa kimya nikiona RAIS wangu anatukanwa au chama changu cha CCM kinashambuliwa au serikali yangu inachafuliwa au Taifa langu lina chafuliwa. Nipo tayari kutetea na hata ikibidi kusimama mwenyewe katika uwanja wa vita ya hoja bila matusi wala lugha ya udhalilishaji kwa wapinzani wangu.
Ndio Maana pamoja na kutukanwa matusi yote ,huwezi ukaniona nikimtukana mtu.
mimi najikita katika hoja na siyo matusi.ningekuwa najibu matusi basi ningekuwa nilishafungiwa humu jukwaani na kuwapa ushindi maadui zangu wanaotamani nipotee hata leo hii. Jambo ambalo limeshindikana kwa sababu nimeweza kuruka viunzi na mitego yao yote. Nimeishinda hofu na uoga na nimeishinda mitego ya maadui zangu. Nipo imara na tayari muda wote kuendelea na mapambano . Sirudi nyuma Zaidi ya kusonga mbele.
Wana CCM tusimame imara kuisemea na kuitetea serikali yetu na chama chetu.tutembee vifua mbele kwa sababu Rais wetu amefanya kazi kubwa sana zinazotupa nguvu ya kutembea vifua mbele na kueleza makubwa yaliyofanywa na serikali yetu na chama chetu.hakuna kukaa kinyonge wala kuogopa. Njooni uwanjani kishujaa ,ushindi upo upande wetu na watanzania wapo upande wetu.
Sisi ndio tumaini la watanzania,sisi ndio nuru ya Taifa hili,sisi ndio nyota ya matumaini.Tusimame pamoja kuwaunganisha watanzania na kuwaonyesha njia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lazizi wangu ephen naomba usimuunge mkono huyo dalali na tapeli.Bora useme wewe
Nitumie hizo pesa sasaLazizi wangu ephen naomba usimuunge mkono huyo dalali na tapeli.