Pwani: Ajali ya Magari imeua Watu 21 na wengine 15 kujeruhiwa. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Kilimahewa ndio nyumbani kwangu. Poleni wandengereko wenzangu. Uzembe wa dereva wa coaster ndio umesababisha yote hayo na ahadi ya Allah ndio imekamilisha yote. Innalillahi wainna illayhi rajiuun.
 
Barabara ina mashimo sana japo ni lami..kwa wale waliopita njia hiyo hivi karibuni ni mashahidi,ni kugombea nani apite sehemu nzuri..japo mwendo kasi pia ni tatizo,hizo Coaster za Ikwiriri zinamwagika sana..

Zilikuwa coaster 2 zinafukuzana ndio tyte likabast na kuhama njia kulifuata Lori


Hiyo ndio sababu ya ajali
 
Ajali tupumzisheni kidg, mbona corona inatumaliza tu?

Polen wafiwa, uguen pole majeruhi.
 
Coaster ina uwezo wa kubeba abiria 22-25, sasa hiyo number ya majeruhi + marehemu unapata thelathini na ushehe plus ambao hawajajeruhiwa unapata ngapi?
 
Utakuta chanzo ni mwendo kasi halafu abiria wapo kimya hawaongei chochote Kama mizigo.
 
Barabara ina mashimo sana japo ni lami..kwa wale waliopita njia hiyo hivi karibuni ni mashahidi,ni kugombea nani apite sehemu nzuri..japo mwendo kasi pia ni tatizo,hizo Coaster za Ikwiriri zinamwagika sana..
Basi kosa ni la TANROADS
 
Anyway, msimu huu ni hatari sana na Corona hii. Unaweza ogopa hadi kusaidia majeruhi kisa janga hili
 
Poleni ndugu wafiwa Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…