Pwani: Ajali ya Magari imeua Watu 21 na wengine 15 kujeruhiwa. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

Solution ni kutengeneza barabara nzuri na pana la sivyo tutakufa sana, unakutana na shimo sehemu ya kona then kilami chenyewe kama ulimi ukikwepa shimo tu umekutana na gari nyingine buuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad jamani,
madereva kuweni makini sana muwapo barabarani jamani.
 
Zilikuwa coaster 2 zinafukuzana ndio tyte likabast na kuhama njia kulifuata Lori


Hiyo ndio sababu ya ajali
Poleni sana,ndio kadari yake allah shekhe wangu,sisi wote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea!
 
Ona ulivyo na akili fupi unaushahidi hao unaowataja wameuawa na Magufuli? Unaweza kujibu ukitafutwa ?

Au una dhani I'd uliyonayo hujulikani

Unasema mwarabu wa yanga? Huoni kuwa hujitambui unamtetea mtu usiye mjua hata jina?

Usirudie tena kuni koti maana kichwani ni mweupe
Ben saanane
lissu amechomoka kimiujiza
Matajiri walopata kash kash yule mhindi sijui mwarabu alokuwa Yanga...usinichoshe na corona hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hebu pita hivi
 
Linaonesha siyo la Dangote kutokana na rangi yake, Dangote yana rangi ya kijivu.
 
aya ssa mnaohofu na corona mnaona 18 wameondoka mara moja kwa siku moja wakati corona ina miezi karibu miwili na haijaondoka na watu kiasi hicho ????

pole kwa wafiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…