Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Hapo unamsema Dayana,Sia au Nora?
 
Acha uongo,nimeona video majirani wanasema Mzee Msuya na mama Msuya wote wanaishi Dodoma tena mtaa wa kwenye mageti. Na watoto wao.walikuwa wanakwenea Dodoma kuwaona wazazi wao mara nyingi tu.
 
[emoji26]
 
Wanawake wa kipare ni noma,hawatawaliki labda aolewe n mpare mwenzake
 
Nomaa sanaa
 
Ni nani atakayeishi milele? Siri ya maisha ya mwanadamu ipo kwa Mungu. Unafahamu kama kuna wababa/wamama wa hovyo?
Yes mkuu,ujue watu wana-base kusema mama/bana hata awe kichaa ni baba/mama tu,No ni uongo,binafsi sipatani na mama mzazi kabisa,kaniacha mikononi mwa baba nikiwa na mwaka mmoja na miezi minne,baada ya mwaka mmoja kabeba mimba na kuzaa na mwanamme mwingine,bila ya kuja hata kuniona,I was to die,ila mungu akawa upande wangu.

Hadi sasa nikisikia mtu anasema nani kama mama huwa nakasirika sana,nafarijika sana nikisikia nani kama baba,
 
Yaani vifo hici vinauma sana.

Wameacha familia kwenye ukiwa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…