nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kabisa....si kila anayeweza sogeza gari mjini ni fit kwa MASAFA,...udereva ni TAALUMA....uheshimiwe......inabidi leseni za katikati ya Mji na safari za Mikoani ziwe tofauti
Wapumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa....si kila anayeweza sogeza gari mjini ni fit kwa MASAFA,...udereva ni TAALUMA....uheshimiwe......inabidi leseni za katikati ya Mji na safari za Mikoani ziwe tofauti
Wapumzike kwa amani
PRADO MCHAGA zina katikaga mguu wa mbele, ball-joint.Kuna uwezekano mkubwa Prado ilichomoka tairi ya mbele na kuacha njia.
Maana Prado kwa kuchomoka tairi...
View attachment 2707159View attachment 2707160
Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na gari ya mzigo aina ya Scania majira ya saa nane usiku katika eneo la Mapatano, Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Waliofariki katika ajali hiyo ni dereva wa Toyota Prado, pamoja na abiria watatu waliokuwa kwenye gari hilo.
Kamanda ya Polisi Mkoa wa Pwani, Piusi Lutumo, amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Toyota Prado ambaye alihama upande wake na kugongana uso kwa uso na gari hilo la mizigo.
Miili ya marehemu wote imehifadhiwa katika Zahanati ya Lugoba mkoani Pwani kwa ajili ya uchunguzi na kutambuliwa na ndugu wa marehemu.
CHANZO: AZAM TV
Ndo kuna kitu nimeona PHU bla blah pamoja we can.....kumbe ndo hao....Mimi ninahisi atakuwa Diana,yule kaolewa na Msukuma.Diana ni mfanya biashara na alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi mara nyingi. Sia anafanya kazi NSSF ni ngumu kwenda nje miezi,Nora anafanya kazi Mzumbe Uni,ni ngumu pia kusafiri miezi kwenda nje.
Hii sio combo ya safari....ni msiba nje nje....PRADO MCHAGA zina katikaga mguu wa mbele.View attachment 2707764
Kazi za watu hizo..Inaeezekana marehemu alisinzia, mida mibaya ya kusafiri hiyo
We unajua magari, hii gari hata unaweza kuta unaenda speed 40 ikakatika mguu wa mbele, kumbuka hata ile ajali ya WAtoto na mzazi waliotoka kwenye mahaffali udsm mwaka jana pale Kimara.Hii sio combo ya safari....ni msiba nje nje....
Yaani ndo madhara ya overconfidence .Halafu huyo kaka yao ni Boss bank so atakuwa na dereva wake.Hivyo huwa hakai mara nyingi kwenye usukani.Mimi binafsi safari za Mwanza huwa ninatafua dereva mwenye uzoefu tena mwenye Leseni ya kutuka NIT.Sometimes bora umlipe dereva.Dereva mwenye mafunzo na uzoefu hawezi kuovertake usiku sehemu ile huku haoni mbele wakati ile barabara kuna risk ya kukutana uso kwa uso na malori .Na malori mengi yanayotoka nairobi,Arusha ,Tanga ,Moshi hiyo ndo njia yao.Ndo kuna kitu nimeona PHU bla blah pamoja we can.....kumbe ndo hao....
Walikosa ushauri wa kupata dereva???
Kabisa,uzembe wa hali ya juu.Sijui kwa nini dada zake hata walimwamini.Halafu wana hela si wangepanda hata précision air jamani.Heads on collision..
Scania imepigwa shavu kulia..definitely...Prado ilikuwa haina dereva'"ni msogeza gari tu''
mdogo wangu usiseme hivyo , ajali hiyo , Kama Mbwewe alifika saa saba usiku, means alitoka Dar es saa mbili , na mchana wote alikuwa kazini, akawapitia ndugu zake then akasafiri usiku, huyo alipata usingizi kama si kukatika tairi ya mbele.Heads on collision..
Scania imepigwa shavu kulia..definitely...Prado ilikuwa haina dereva'"ni msogeza gari tu''
Nakuambia Prado sio gari ni takataka bin uchafu....hata bila kukata mguu Hua zinakata na kiuno😀😀hasa kwenye njia za changarawe...We unajua magari, hii gari hata unaweza kuta unaenda speed 40 ikakatika mguu wa mbele, kumbuka hata ile ajali ya WAtoto na mzazi waliotoka kwenye mahaffali udsm mwaka jana pale Kimara.
ipo tofaufi chiefKwani Kuna tofauti Kati ya kuhama njia na kuovertake!?? Waandishi wa Buza humu kila mtu ana chanzo chake so sad
We jamaa namna gani???mdogo wangu usiseme hivyo , ajali hiyo , Kama Mbwewe alifika saa saba usiku, means alitoka Dar es saa mbili , na mchana wote alikuwa kazini, akawapitia ndugu zake then akasafiri usiku, huyo alipata usingizi kama si kukatika tairi ya mbele.
Huyo sio dereva....hajui lolote kuhusu mambo ya 'Rodi'....ni bosi flani ofisini...e jamaee rizki kugawana.....angetafuta dereva wa njia hiyo.Inaeezekana marehemu alisinzia, mida mibaya ya kusafiri hiyo
Hatari sana hii, kazi ya udereva ni taaluma kama taaluma zingine, uzoefu wa kuendesha safari ndefu hasa usiku sio kitu chepesi kama wengi wanaomiliki magari mjini na kujiamulia tuu waondoke bila usaidizi ni hatari kwa maisha yao.Kwa maelezo ya RPC wa Pwani, Inaonekana dereva alikuwa amekunywa pombe.
Waendeshaji vya vyombo vya moto mnakumbushwa tena, DON'T DRINK ALCOHOL AND DRIVE
Umenichekesha sanaKuna siku nilipanda gari za dangote aisee yule dereva nusura atuue rufiji pale yaani alisinzia gari ikawa inajiendea tu
Walitokea darWalitoka Morogoro (Mzumbe) kama sijakosea wakiekekea Same.