Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].

Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]

Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Duh! Vipi tena ndugu, tuko na msiba, ila yote maisha tu!
 
Ana nyumba 6 zote kodi kwa mwezi 450000 nyumba High class

Ila alikua ana jengewa na mmoja wa jitu kubwa hapa Tz ndio lilikua jitu lake ki financial maana sio kwa migari ilee aliekua anakuja nayo kuangalia nyumba zake

Jamaa yake sio kwamba hana pesa or hana kazi?? Noo ni kazidiwa tuu na mkewe

Ukiwa unapeleka kodi kwake ukimkuta jamaa yake huwa hapokei anasema msubiri aje mwenyewe umpe kodi yake mimi sihusiki


Sijamsema ila naamanisha hivi vitu ni vya kupitaa aisee[emoji1786][emoji1786] maana sio kwa mijengo ilee
 
Kuna uwezekano mkubwa Prado ilichomoka tairi ya mbele na kuacha njia.
Maana Prado kwa kuchomoka tairi...
Which is mechanical failure. Wao wamesha conclude ni human error,.

"Uzembe wa dereva wa Prado kuhama njia..... Mwendo wa ngiri mkia juu."

Kichwa cha mweusi hakikuzoeshwa kuchambua chambua mambo, kutafuta majawabu ya uhakika, ndo maana matatizo yetu hayapungui.
 
Ila alikua haringii, alikua mtu wawatu, full story kwa watu,alikua mshauri,

Japo ukuta wa nyumba yake alisogeza hadi barabarani/alivuka mpaka akatupa shida kugeuza na magari yetu hadi leo(barabarani ikawa nyembamba)[emoji23]

Kwa mafundi ujenzi ndio aliniacha HOI na mimi hii staili aliekua anaitumia lazima niitumiee aisee[emoji23]
@ Akikuuliza hii nyumba inahitaji matofali mangapi? Mbao ngapi?? Bati ngapi?? Cement ngapi?? Rangi ndoo ngapi? Nondo ngapi?? ALAFU akaja kuvinunuaa THEN wewe fundi uje KUVIBAKISHAAAA[emoji119][emoji119] iwe vyotee au kimoja wapo?? Lazima akukate kwenye malipo atakayo kulipa( yani ana kuuzia kwa Bei ile ile alienda kununua iko ulicho bakisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HANA BAYAA r.I.p Dada yetuu[emoji25][emoji25]
 
Kabisa,uzembe wa hali ya juu.Sijui kwa nini dada zake hata walimwamini.Halafu wana hela si wangepanda hata précision air jamani.
Mara nyingine unapokuwa na gari kubwa unaweza kuwa na kiburi fulani fulan hivi nakumbuka kuna mdada ana bmw x5 sasa akawa anasema yaani hii gari yangu hii mkoa wowote Tanzania ni kufumba na kufumbua maana hii ni gari ya safari hata ukimaliza kisahani still upo comfortable🤣😂 na "nikisafiri huwa nshawapanga traffic kabisaa" sasa fikiri mtu wa namna hii ana safari ndefu atazingatia kweli usalama barabarani? Kiukweli njia za bongo dreva inabidi uwe na tahadhari nyingi sanaaa haijalishi una gari imara kiasi gani! hizi njia moja lane mbili opposite side ajali ni sekunde tu. Kingine uchovu aisee hii ni inauwa wengi mnoo nakumbuka kuna siku nilikuwa na safari ndefu ijumaa nimetoka job late night halaf nimechokaaa asubuh alfajiri nikalianzisha aisee baada ya masaa kadhaa ya kudrive yaan nilikuwa full mchovu macho mazitoo full kuona duble duble dah nikapaki pembeni nikatafuta duka nikapiga grandmalt nikatulia dakika kadhaaa nikaona mwili umerudi mahala pake ndo nikaendelea na safari na mwendo mdomdo. Halafu sometime if mtu una pesa why kuhangaika na prado michagga? Director tena ABSA unaachaje sasa kuwa na mkoko konki then unatafuta dreva konki master anakudrive au unachukua mwewe mpe dreva atangulie na mkoko mkutane location. Prado ilimuua jamaa angu sina hamu nazo na kwa kuwa alikuwa ana nyazifa polisi basi njian ilikuwa hakuna traffic wa kumghasi yaani ni full kibati dakika chache kabla ya ajali mkewe alimpigia umefika wapi? marehemu kwa sifa akamwambia mkewe nimeshaingia Same, mke akashangaa sanaaa akamsihi mume apunguze speed maana kawahi mnoooo aisee dakik chache baadae ndo hivyo parapanda ikalia😩😩.
 
Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].

Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]

Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Huyu unaemzungumzia ni yupi kati ya wale wadada? [emoji56]
 
Nakuambia Prado sio gari ni takataka bin uchafu....hata bila kukata mguu Hua zinakata na kiuno😀😀hasa kwenye njia za changarawe...
Hizo gari hapanaa kuna siku niliendesha ya ofisi yaan ilikuwa nikikanyaga mafuta ile inaanza speed 50 na kuendelea gari inapoteza balansi halafu inakuwa kama inapaa hivi yaan njia nzima nakomaa na starring gari isitoke barabarani aisee hatari sana hizo ndinga
 
Back
Top Bottom