Soga za mzawa
Senior Member
- Oct 27, 2017
- 159
- 186
Marehemu wote WAPUMZIKE KWA AMANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unamsema Dayana,Sia au Nora?Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Nikiwa kama dereva mkongweHuku barabarani kuna uendeshaji wa ajabu sana
Na sahv wakiona gari hamna wala hawajali kama taa zinaruhusu ama laah ni kufunguka tu hatari sanaa
Ajali imetokea SAA 8 usiku itakuwa usingiziJapo hatujui labda pia dereva wa prado alilewa ama kusinzia. Pia tusisahau juju
Madereva ukichanganya na miundombinu yetu basi ni 💣🔥🔥Nikiwa kama dereva mkongwe
Nasema uendeshaji wa sahvi ni wa
Ovyo sana
Ova
Acha uongo,nimeona video majirani wanasema Mzee Msuya na mama Msuya wote wanaishi Dodoma tena mtaa wa kwenye mageti. Na watoto wao.walikuwa wanakwenea Dodoma kuwaona wazazi wao mara nyingi tu.Ndo akina msuya hawa??
Hujawaho kwenda kwenu..miaka na miaka..baba yenu anawaita njoo nyumbana niongee nanyi..mnajifanya busy..mnachofanya ni kumchukua mama yenu na kukaa nae mjin na baba anabaki kijijin akiwa hana msaada wowote huku AMEINAMISHA nafsi yake kwa sababu ya matendo yenu...linakuja kutokea tatizo kubwa pasipo kureconcile na baba yenu mnajibeba mnaenda.........
[emoji26]View attachment 2707159View attachment 2707160
Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na gari ya mzigo aina ya Scania majira ya saa nane usiku katika eneo la Mapatano, Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Waliofariki katika ajali hiyo ni dereva wa Toyota Prado, pamoja na abiria watatu waliokuwa kwenye gari hilo.
Kamanda ya Polisi Mkoa wa Pwani, Piusi Lutumo, amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Toyota Prado ambaye alihama upande wake na kugongana uso kwa uso na gari hilo la mizigo.
Miili ya marehemu wote imehifadhiwa katika Zahanati ya Lugoba mkoani Pwani kwa ajili ya uchunguzi na kutambuliwa na ndugu wa marehemu.
CHANZO: AZAM TV
Yawezekana kabisa. Hakuna kitu hatarishi kuendesha gari unasinzia ama umelewa. Angeweka gari pembeni alale.Ajali imetokea SAA 8 usiku itakuwa usingizi
Asante mkuu na wewe piaRip marehem
Wanawake wa kipare ni noma,hawatawaliki labda aolewe n mpare mwenzakeUmejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Prado hz tx au zipi mkuuKuna uwezekano mkubwa Prado ilichomoka tairi ya mbele na kuacha njia.
Maana Prado kwa kuchomoka tairi...
Nomaa sanaaUmejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri[emoji23].
Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana[emoji2955]
Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu[emoji2955]
Wazazi wao wanaishi dodoma na hawa wamekulia domAcha uongo,nimeona video majirani wanasema Mzee Msuya na mama Msuya wote wanaishi Dodoma tena mtaa wa kwenye mageti. Na watoto wao.walikuwa wanakwenea Dodoma kuwaona wazazi wao mara nyingi tu.
Yes mkuu,ujue watu wana-base kusema mama/bana hata awe kichaa ni baba/mama tu,No ni uongo,binafsi sipatani na mama mzazi kabisa,kaniacha mikononi mwa baba nikiwa na mwaka mmoja na miezi minne,baada ya mwaka mmoja kabeba mimba na kuzaa na mwanamme mwingine,bila ya kuja hata kuniona,I was to die,ila mungu akawa upande wangu.Ni nani atakayeishi milele? Siri ya maisha ya mwanadamu ipo kwa Mungu. Unafahamu kama kuna wababa/wamama wa hovyo?
Yaani vifo hici vinauma sana.View attachment 2707159View attachment 2707160