Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Aisee
 
Kuna kitu unakijua. Hebu niambie Mimi tu inbox.
 
Ni yupi kati ya hao senegro orgenes ? Funguka hiyo code bosi
 
Fikiri kabla ya kuandika, hariri ulichoandika. Kila mara
 
Sisi tunaoamini ktk maswala ya kiroho pia mtusikilize tunachosema.

Mshana Jr njoo na tafsiri ya Picha Ktk mambo ya kiroho.

Harafu ma Lecturer wa Mzumbe wana milki magari mazuri mbona wale wa Dar hawana?

Msiseme nina wivu maana na mimi ninalo la kwangu.

Ila najaribu kuwaza mambo ya Kiroho sisi ni wafrika.
 
Walitoka Morogoro (Mzumbe) kama sijakosea wakiekekea Same.
 
Moro matumizi ya fedha yako chini kiasi unaweza ukazunguka mji kutafuta chenji ya sh. 10,000/= huku Dar utaipata kwa muuza maji ya kandoro.
 
Mara nyingi epuka sana kusafiri usiku kama inawezekana. Bongo watu wanaostahili kuitwa madereva ni wachache sana.
Mara nyingi usiku ma dreva wa kweli huwa wao wanalala na gari humuachia tingo wake nae aongeze ujuzi wa kuendesha! Sasa unakuta tingo anajifunza mwenyewe, maana Mwalimu wake ambae ndiyo dereva Mkuu kalala fofofoo!!
 
.Mafundisho ya dini yangu yamesisitiza sana kusitiri watu katika yake ambayo yangekuwa yanakuhusu Wewe usithubutu kuitoa siri hiyo na hasa hasa kwa lengo la kutweza utu wa Mtu na hasa Marehemu hata kama maelezo hayo ni kweli
 
Mimi Dar ikishafika saa 3 usiku siendeshi gari bila sababu za msingi. Bora nipande daladala...


Madereva wamekuwa wa hovyo barabarani unaweza sababishiwa ajali bila kutarajia.


Rip marehem
Bora upande yale madaladala yanayoendeshwa na wanywa viroba usiku?, bora utembee tu Mkuu

nimewahi kupanda daladala kutokea Buguruni kwenda Kawe, Dereva kama vile akili aliziacha buguruni usiku ule tukielekea Kawe, nilishuka Mkwajuni nikabadili daladala
 
Ni yupi kati ya hao senegro orgenes ? Funguka hiyo code bosi
Mimi ninahisi atakuwa Diana,yule kaolewa na Msukuma.Diana ni mfanya biashara na alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi mara nyingi. Sia anafanya kazi NSSF ni ngumu kwenda nje miezi,Nora anafanya kazi Mzumbe Uni,ni ngumu pia kusafiri miezi kwenda nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…