Uchaguzi 2020 Pwani: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Pwani: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Pwani una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:-

Chalinze: KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA - Amepita bila kupingwa

Bagamoyo:
Muharami Shabani (CCM) - Kura 23,159
Vitalisi Maembe (Act Wazalendo) - Kura 5,592

Kibaha Mjini:
Slyvester Koka (CCM) - 29,797
Michael Mtali (CHADEMA) - 12,234.

Kibaha Vijijini:
Michael Mwakamo (CCM)

Kisarawe:
Selemani Jafo (CCM) - Kura 26,739
Mussa Nandonde (CCM) - Kura 2,402

Mafia:
Juma Kipanga (CCM) - Kura 12,691
Riziki Shahari (ACT Wazalendo) - Kura 2,342

Mkuranga:
Abdallah Ulega (CCM)

Kibiti:
Twaha Mpembenue (CCM)

Rufiji:
Mohammed Mchengelwa (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Pwani mchangani ndio kijiji pekee unguja chenye vijana wenye ufuasi kindakindaki jana haitosahaulika kwa raia na dola.

Yote yote amani idumishe hizi ni siasa zibaki kuwa siasa na tuwaachie wanasiasa sisi ni wananchi.
 
Kadi ya CCM, kura kwa Tundu Lissu.

tapatalk_1603879495361.jpeg
 
Hisia hizi zinaibuka kwasababu ya zile tetesi kuwa nchi inaongozwa na Kikwete!
 
Back
Top Bottom