LGE2024 Pwani: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

1727775011386.jpeg

Ramani ya Mkoa wa Pwani
Historia ya mkoa wa Pwani
Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa sehemu ya jimbo la Mashariki ambalo makao makuu yake yalikuwa Morogoro. Baada ya uhuru mwaka 1961 Serikali ilianzisha muundo wa mikoa. Baada ya muundo wa mikoa, mkoa wa Dar es salaam ulikuwa sehemu ya mkoa wa Pwani na makao makuu yalikuwa Dar es salaam.

Mwaka 1972 Serikali ikafanya tena mabadiliko ya kiutawala yaliyopelekea kuitenga Dar es salaam na Pwani na rasmi mkoa wa Pwani ukazaliwa mwaka 1972 na kubakia na wilaya nne ambazo ni Kisarawe, Rufiji, Bagamoyo na mafia huku makao makuu yakiwa kibaha.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA PWANI
1727775205543.png

CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
UFAFANUZI WA TAKWIMU KWA UFUPI
Mkoa wa Pwani una mgawanyo wa utawala unaojumuisha mamlaka za miji na wilaya. Katika mamlaka za miji, kuna Mji wa Kibaha ambao una kata 14 na mitaa 73. Kwa upande wa mamlaka za wilaya, kuna wilaya nane: Bagamoyo, Chalinze, Kibaha, Kisarawe, Kibiti, Mafia, Mkuranga, na Rufiji, ambazo kwa ujumla zina kata 119, vijiji 417, na vitongoji 2,028. Kwa jumla, mkoa huu una kata 133, mitaa 73, vijiji 417, na vitongoji 2,028, ukijumuisha miji na wilaya zote za Mkoa wa Pwani.

Orodha ya majimbo ya uchaguzi katika Mkoa wa Pwani, ikijumuisha kata na vitongoji vilivyopo katika kila wilaya:

Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa Pwani

  1. Jimbo la Bagamoyo
    • Kata:
      • Kata 19
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 259
  2. Jimbo la Chalinze
    • Kata:
      • Kata 9
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 105
  3. Jimbo la Kibaha
    • Kata:
      • Kata 14
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 73
  4. Jimbo la Kisarawe
    • Kata:
      • Kata 15
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 195
  5. Jimbo la Kibiti
    • Kata:
      • Kata 6
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 67
  6. Jimbo la Mafia
    • Kata:
      • Kata 8
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 27
  7. Jimbo la Mkuranga
    • Kata:
      • Kata 13
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 156
  8. Jimbo la Rufiji
    • Kata:
      • Kata 6
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 56

Takwimu za Jumla​

  • Kata Jumla: 133
  • Vitongoji Jumla: 2,028
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

UPDATES:
- Kuelekea 2025 - Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

- LGE2024 - ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

- LGE2024 - Mchengerwa kajaza Uwanja Mafia Lakini Tundu Lissu pale Mwembeyanga hata Robo ya Uwanja hapati, Chadema tumieni Mbinu za kisayansi!

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jackob Aanza kazi Kanda ya Pwani, Aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

- LGE2024 - Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 Mahakimu mkoa wa Pwani wajengewa uwezo namna bora ya kuendesha Mashauri ya Uchaguzi

- LGE2024 Waziri Abdallah Ulega: Mkuranga hatumdai Rais Samia chochote, hii ni sababu moja wapo ya CCM kushinda chaguzi zijazo kwa kishindo kikubwa

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 - Pwani: Makamu wa pili wa Rais Zanzibar ataka CCM wasiwachukie Wapinzani

- LGE2024 Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

- LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

- LGE2024 Waziri Mchengerwa: Taarifa nilizonazo hadi sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaendelea Vizuri na kwa Hali ya Amani nchi nzima

- LGE2024 Pwani: Kunenge awaongoza Wananchi kupiga kura

- LGE2024 - Pwani: CHADEMA waeleza changamoto za Uchaguzi

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE:
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

- LGE2024 - Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Pwani: Kunenge awaongoza Wananhi kupiga kura

- LGE2024 - Pwani: CCM Mtambani yaibuka baada ya mgombea kushindwa, wawatuliza Wanachama

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

MATOKEO YA UCHAGUZI

- LIVE - LGE2024 - Matokeo ya Jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa
 
Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu litaanza lini
 
Majina yetu tulioomba nafasi ya uandikishaji mbona hayarudi, usaili lini?
 
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

View attachment 3111999
Ramani ya Mkoa wa Pwani
Historia ya mkoa wa Pwani
Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa sehemu ya jimbo la Mashariki ambalo makao makuu yake yalikuwa Morogoro. Baada ya uhuru mwaka 1961 Serikali ilianzisha muundo wa mikoa. Baada ya muundo wa mikoa, mkoa wa Dar es salaam ulikuwa sehemu ya mkoa wa Pwani na makao makuu yalikuwa Dar es salaam.

Mwaka 1972 Serikali ikafanya tena mabadiliko ya kiutawala yaliyopelekea kuitenga Dar es salaam na Pwani na rasmi mkoa wa Pwani ukazaliwa mwaka 1972 na kubakia na wilaya nne ambazo ni Kisarawe, Rufiji, Bagamoyo na mafia huku makao makuu yakiwa kibaha.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA PWANI
View attachment 3112007
CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
UFAFANUZI WA TAKWIMU KWA UFUPI
Mkoa wa Pwani una mgawanyo wa utawala unaojumuisha mamlaka za miji na wilaya. Katika mamlaka za miji, kuna Mji wa Kibaha ambao una kata 14 na mitaa 73. Kwa upande wa mamlaka za wilaya, kuna wilaya nane: Bagamoyo, Chalinze, Kibaha, Kisarawe, Kibiti, Mafia, Mkuranga, na Rufiji, ambazo kwa ujumla zina kata 119, vijiji 417, na vitongoji 2,028. Kwa jumla, mkoa huu una kata 133, mitaa 73, vijiji 417, na vitongoji 2,028, ukijumuisha miji na wilaya zote za Mkoa wa Pwani.

Orodha ya majimbo ya uchaguzi katika Mkoa wa Pwani, ikijumuisha kata na vitongoji vilivyopo katika kila wilaya:

Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa Pwani

  1. Jimbo la Bagamoyo
    • Kata:
      • Kata 19
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 259
  2. Jimbo la Chalinze
    • Kata:
      • Kata 9
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 105
  3. Jimbo la Kibaha
    • Kata:
      • Kata 14
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 73
  4. Jimbo la Kisarawe
    • Kata:
      • Kata 15
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 195
  5. Jimbo la Kibiti
    • Kata:
      • Kata 6
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 67
  6. Jimbo la Mafia
    • Kata:
      • Kata 8
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 27
  7. Jimbo la Mkuranga
    • Kata:
      • Kata 13
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 156
  8. Jimbo la Rufiji
    • Kata:
      • Kata 6
    • Vitongoji:
      • Vitongoji 56

Takwimu za Jumla​

  • Kata Jumla: 133
  • Vitongoji Jumla: 2,028
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

UPDATES:
- Kuelekea 2025 - Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

- LGE2024 - ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

- LGE2024 - Mchengerwa kajaza Uwanja Mafia Lakini Tundu Lissu pale Mwembeyanga hata Robo ya Uwanja hapati, Chadema tumieni Mbinu za kisayansi!

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jackob Aanza kazi Kanda ya Pwani, Aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

- LGE2024 - Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 Mahakimu mkoa wa Pwani wajengewa uwezo namna bora ya kuendesha Mashauri ya Uchaguzi

- LGE2024 Waziri Abdallah Ulega: Mkuranga hatumdai Rais Samia chochote, hii ni sababu moja wapo ya CCM kushinda chaguzi zijazo kwa kishindo kikubwa

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 - Pwani: Makamu wa pili wa Rais Zanzibar ataka CCM wasiwachukie Wapinzani

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE:
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

- LGE2024 - Pwani: DC Nikki wa Pili na RC Kunnenge wapanga foleni kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
Pwani nako walichangamka, kuanzia kwenye uandikishaji, ngoja tuone kwenye matokeo mambo yatakuaje
 
Back
Top Bottom